MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


206 Wafutiwa Matokeo Kidato Cha Pili na Darasa la Nne 2023

Filed in Ajira, Habari, Michezo by on 08/01/2024 0 Comments

206 Wafutiwa Matokeo Kidato Cha Pili na Darasa la Nne 2023

206 Wafutiwa Matokeo Kidato Cha Pili na  Darasa la Nne 2023, Matokeo ya kidato cha pili 2023 24 tanzania, Matokeo Kidato cha pili Secondary School, Matokeo ya kidato cha pili kimkoa, Matokeo ya kidato cha pili 2023 na 2024, Matokeo kidato cha pili necta form two 2023, Matokeo ya Darasa la nne 2023 Mkoa wa Dar ES SALAAM.

206 Wafutiwa Matokeo Kidato Cha Pili na  Darasa la Nne 2023

206 Wafutiwa Matokeo Kidato Cha Pili na Darasa la Nne 2023, Matokeo ya kidato cha pili 2023 24 tanzania, Matokeo Kidato cha pili Secondary School, Matokeo ya kidato cha pili kimkoa, Matokeo ya kidato cha pili 2023 na 2024, Matokeo kidato cha pili necta form two 2023, Matokeo ya Darasa la nne 2023 Mkoa wa Dar ES SALAAM.

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) Limetangaza Matokeo ya kitaifa ya Upimaji wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili uliofanyika mwaka 2023 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 0.13 kwa Kidato cha Pili na asilimia 0.39 kwa Darasa la Nne.

Katika Matokeo ya Darasa la Nne, taarifa inaonyesha Wanafunzi 1,287,934 sawa na asilimia 83.34 Wamefaulu kuendelea na Darasa la Tano.MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024

206 Wafutiwa Matokeo Kidato Cha Pili na Darasa la Nne 2023

Upande wa Kidato cha Pili, Wanafunzi 592,741 ambao ni sawa na asilimia 85.31 Wamefaulu kwa Daraja la Kwanza hadi la Nne.MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024

Akitangaza Matokeo hayo Leo (Jana) Jumapili, Januari 7, 2024 Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said Mohamed amesema kuwa Baraza hilo pia Limefuta Matokeo kwa wanafunzi 178 wa Darasa la Nne na 28 wa Kidato cha Pili waliofanya udanganyifu.

Mbali na hao, Baraza hilo pia limewafutia Matokeo Wanafunzi Watatu wa Darasa la Nne na 14 wa Kidato cha Pili walioandika matusi.

Kwa upande wa Masomo kwa Darasa la Nne, Matokeo hayo yanaonyesha ufaulu wa Sayansi na Teknolojia ukifikia asilimia 86.86 kutoka asilimia 83.19 ya mwaka 2022 na somo la Hisabati likifiki asilimia 54.00 kutoka asilimia 49.7.

Kwa kidato cha Pili, Ufaulu wa somo la Uraia umeimarika kutoka asilimia 31.12 mwaka 2022 hadi kufiki asilimia 48.27.

Matokeo ya Darasa la nne 2023, Matokeo Darasa la Nne 2023/24, Matokeo ya darasa la nne 2023 tanzania bara, Matokeo ya kidato cha pili 2023, Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Kidato cha pili, Matokeo ya Kidato cha nne 2023, Matokeo ya Darasa la nne 2023
Matokeo ya Darasa la nne 2023 PDF, Matokeo ya Darasa la Nne 2023/24, Matokeo ya kidato cha pili 2023, Matokeo ya kidato cha nne, Matokeo Kidato cha nne 2023, Matokeo ya Darasa la nne 2023, Matokeo Darasa la Nne 2023/24, Matokeo ya darasa la nne 2023 tanzania bara, Matokeo ya kidato cha pili 2023, Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Kidato cha pili, Matokeo ya Kidato cha nne 2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel