MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


ADEL Amrouche apigwa Stop Taifa Stars

Filed in Michezo by on 20/01/2024 0 Comments

ADEL Amrouche apigwa Stop Taifa Stars

ADEL Amrouche apigwa Stop Taifa Stars, CAF na TFF Zamfungia Adel Amrouche Stars,Adel Amrouche Stars, Amrouche apigwa Stop Stars, Morocco na Mgunda wapewa Taifa Stars, BREAKING NEWS: Adel Amrouche sacked as Tanzania coach, The East African Tanzania suspends 'Taifa Stars' head coach Adel Amrouche, Taifa Stars Coach Adel Amrouche faces an eight-match ban from CAF.

ADEL Amrouche apigwa Stop Taifa Stars

ADEL Amrouche apigwa Stop Taifa Stars, CAF na TFF Zamfungia Adel Amrouche Stars,Adel Amrouche Stars, Amrouche apigwa Stop Stars, Morocco na Mgunda wapewa Taifa Stars, Adel Amrouche sacked as Tanzania coach.

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemsimamisha kazi, Kocha Mkuu wa Tanzania  (Taifa Stars), Mualgeria Adel Amrouche na kumteua, Hemed Suleiman Morocco kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa timu hiyo akisaidiwa na Juma Mgunda.

Hayo ni baada ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kumfungia  Kocha Kwa mechi nane kutokana kutoa zake kauli za kuwa Morocco ina ushawishi ndani ya CAF katika kupanga mechi pamoja na maamuzi akilenga kuaminisha Kwamba kwa sababu hiyo wanafanya vizuri.

Hayo aliyasema kabla ya mechi ya Kwanza ya Kundi F ambayo Morocco ilipata ushindi wa mabao 3 – 0 dhidi ya Tanzania, mchezo uliofanyika Jumatano kwenye Uwanja wa Laurent Pokou jijini San-Pedro nchini Ivory Coast.

ADEL Amrouche apigwa Stop Taifa Stars, CAF na TFF Zamfungia Adel Amrouche Stars,Adel Amrouche Stars, Amrouche apigwa Stop Stars, Morocco na Mgunda wapewa Taifa Stars, Adel Amrouche sacked as Tanzania coach.

ADEL Amrouche apigwa Stop Taifa Stars

Mabao ya Moroco kwenye mechi hiyo yalifungwa na Romain Ghanem Paul Saïss, Azzedine Ounahi na Youssef En-Nesyri.

Katika mchezo Taifa Stars ilimaliza pungufu baada ya Novatus Dismas kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 70 kufuatia kuoneshwa kadi ya pili ya njano.

Taifa Stars inatarajiwa kushuka Uwanjani Kesho Jumapili Kuanzia Saa 2:00 usiku kucheza dhidi ya Zambia katika mchezo wa pili wa Kundi F, siku hiyo hiyo pia Morocco itacheza mchezo wa Pili dhidi ya DR Congo Kuanzia Saa 11:00 Jioni kwenye Uwanja wa Laurent Pokou.

Katika Msimamo wa Kundi F, Morocco inaongoza ikiwa na alama tatu, ikifuatiwa na DR Congo na Zambia zenye alama moja kila moja, wakati Tanzania inashika nafasi ya mwisho ikiwa na haina alama yoyote.

The East African Tanzania suspends ‘Taifa Stars’ head coach Adel Amrouche, Taifa Stars Coach Adel Amrouche faces an eight-match ban from CAF.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel