MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Aubin Kramo Kouamé atua Simba SC

Filed in Michezo, New, Usajili by on 07/07/2023 0 Comments

Aubin Kramo Kouamé atua Simba SC

Aubin Kramo Kouamé atua Simba SC, Simba yamsajili Aubin Kramo Kouamé,Aubin Kramo Kouamé Simba,Aubin Kramo Kouamé Simba SC, Simba yamalizana na Kramo Aubin,Simba yamalizana na Aubin Kramo Kouamé, Aubin Kramo Kouamé atua Simba SC.

Aubin Kramo Kouamé atua Simba SC

Aubin Kramo Kouamé atua Simba SC, Klabu ya Simba SC, imetangaza kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Aubin Kramo Kouamé kutoka Asec Mimosas ya kwao Ivory Coast.

Kramo mwenye umri wa miaka 27 ametua Simba baada ya Kusaini mkataba wa miaka miwili.

Aubin Kramo Kouamé atua Simba SC, Simba yamsajili Aubin Kramo Kouamé,Aubin Kramo Kouamé Simba,Aubin Kramo Kouamé Simba SC, Simba yamalizana na Kramo Aubin,Simba yamalizana na Aubin Kramo Kouamé, Aubin Kramo Kouamé atua Simba SC.Mwamba huyo wa zamani wa miamba ya Ivory Coast, ASES Mimosas anatua Msimbazi kuongeza nguvu kwenye eneo la Ushambuliaji la Klabu hiyo kuelekea msimu mpya wa 2023/2024.

Kutua kwa Aubin Kramo Kouamé kunaifanya Simba kwenye eneo la Ushambuliaji liwe na Wachezaji wengine hatari ambao ni Essomba Onana, Saido Ntibazonkiza, Clatous Chama, Jean Baleke, Moses Phiri na yeye mwenyewe Aubin Kramo Kouamé.

Aubin Kramo Kouamé anakuwa mchezaji wa pili mpya wa Simba baada ya Mshambuliaji Leandre Essomba Willy Onana raia wa Cameroon kutoka Rayon Sport ya Rwanda.

Aubin Kramo Kouamé atua Simba SC, Simba yamsajili Aubin Kramo Kouamé,Aubin Kramo Kouamé Simba,Aubin Kramo Kouamé Simba SC, Simba yamalizana na Kramo Aubin,Simba yamalizana na Aubin Kramo Kouamé, Aubin Kramo Kouamé atua Simba SC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel