MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

AUGUSTINE Okrah ni Mwananchi

Filed in Usajili, Michezo by on 01/01/2024 0 Comments

AUGUSTINE Okrah ni Mwananchi

AUGUSTINE Okrah ni Mwananchi, Augustine Okrah Mchezaji Mpya wa Yanga, Yanga yamsajili Augustine Okrah, Augustine Okrah atua Yanga Sc, Okrah asajiliwa Yanga.

AUGUSTINE Okrah ni Mwananchi

AUGUSTINE Okrah ni Mwananchi, Augustine Okrah Mchezaji Mpya wa Yanga, Yanga yamsajili Augustine Okrah, Augustine Okrah atua Yanga Sc, Okrah asajiliwa Yanga.

Klabu ya Yanga imetangaza kukamilisha usajili wa Kiungo Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Augustine Okrah ambaye ameonekana kufanya vizuri akiwa na klabu ya Bechem United.

Okrah ametangazwa kuwa Mchezaji wa Yanga Leo December 31, 2023 kwenye Uwanja wa Amaan Complex Visiwani Zanzibar, kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi C Kombe la Mapinduzi 2023/2024 ambapo Yanga wameibuka na Ushindi wa Mabao 5 – 0 dhidi ya Jamhuri SC.

AUGUSTINE Okrah ni Mwananchi, Augustine Okrah Mchezaji Mpya wa Yanga, Yanga yamsajili Augustine Okrah, Augustine Okrah atua Yanga Sc, Okrah asajiliwa Yanga.

AUGUSTINE Okrah ni Mwananchi

Baada ya kuondoka Simba na kurejea Bechem United ameonyesha kiwango cha juu akifunga Mabao 9 kwenye Mechi 16, huku akitoa pasi za Mabao 2.

Aidha Usajili wa Okrah mwenye umri wa 30 raia wa Ghana ni pendekezo kocha Mkuu w Yanga, Miguel Gamondi Katika kukiongezea nguvu kikosi chake.

Okrah anakuwa Mchezaji mpya wa pili wa Yanga dirisha hili dogo la Usajili baada ya kiungo, Shekhan Ibrahim mwenye umri wa miaka 19 kutoka JKU SC ya Zanzibar.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel