MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Azam yasajili Kocha wa Makipa na Video Analyst

Filed in Michezo, Usajili by on 04/07/2023 0 Comments

Azam yasajili Kocha wa Makipa na Video Analyst

Azam yasajili Kocha wa Makipa na Video Analyst

Azam yasajili Kocha wa Makipa na Video Analyst

Azam yasajili Kocha wa Makipa na Video Analyst, Klabu ya Azam FC imewatambulisha wataalamu wawili wapya kwenye benchi lao la ufundi.

Mmoja ni Kocha wa Makipa Khalifa Ababakar Fall na Ibrahim Diop ambaye ni Mchambuzi wa mechi (Video Analyst).

Azam yasajili Kocha wa Makipa na Video AnalystWawili hao wanaungana na Msenegal mwenzao, Youssouph Dabo ambaye ndiye Kocha Mkuu mpya wa Azam FC, wote wakisaini mkataba wa miaka mitatu kila mmoja.

Hiyo ni baada ya Azam kulibomoa benchi lake la Ufundi kwa kuwaondosha Kaimu Kocha Mkuu, Kali Ongala, Msaidizi wake, Aggrey Morris, Kocha wa Makipa, Mspaniola Dani Cadena na kocha wa Fiziki, Mtunisia Dk. Moadh Hiraoui.

Azam yasajili Kocha wa Makipa na Video AnalystAzam pia imeachana Wachezaji wake sita hadi sasa, ambao ni kipa Wilbol Maseke, mabeki Bruce Kangwa, Kenneth Muguna, Cleophace Mkandala, Ismail Aziz na Mzambia, Rodgers Kola, huku ikisajili viungo wawili tu, Feisal Salum na Gibrill Sillah.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel