MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

Babacar Sarr Mchezaji Mpya Simba 2023/2024

Filed in Michezo, Usajili by on 06/01/2024 0 Comments

Babacar Sarr Mchezaji Mpya Simba 2023/2024

Babacar Sarr Mchezaji Mpya Simba 2023/2024, Cv Ya Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba 2024, Mfahamu Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba SC 2023/24,Profile ya Babacar Sarr Mchezaji Mpya Simba,profile ya Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba 2023/2024.

Babacar Sarr Mchezaji Mpya Simba 2023/2024

Babacar Sarr Mchezaji Mpya Simba 2023/2024, Cv Ya Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba 2024, Mfahamu Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba SC 2023/24,Profile ya Babacar Sarr Mchezaji Mpya Simba, Profile ya Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba 2023/2024.

Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo Mkabaji wa zamani wa Klabu ya US Monastir, Babacar Sarr raia wa Senegal mwenye umri wa miaka 26.

Klabu hiyo yenye makazi yake mtaa wa Msimbazi Jijini Dar Es Salaam, tayari imekamilisha usajili wa Saleh Masoud Karabaka kutoka JKU SC ya Zanzibar.

Babacar Sarr Mchezaji Mpya Simba 2023/2024, Cv Ya Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba 2024, Mfahamu Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba SC 2023/24,Profile ya Babacar Sarr Mchezaji Mpya Simba,profile ya Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba 2023/2024.

Babacar Sarr Mchezaji Mpya Simba 2023/2024

Babacar Sarr ametua Simba baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.

Babacar Sarr mwenye urefu wa mita 1.83 aliyezaliwa July 24, 1997 katika mji wa Thies, Senegal amewahi kuzichezea timu za Wallydann, AS Pikine, Mbour PC na Teungueth zote za Senegal kabla ya kutua Olympique Beja aliyotwaa nayo taji la Kombe la Tunisia msimu uliopita kabla ya kusajiliwa US Monastir aliyoichezea msimu huu.Babacar Sarr Mchezaji Mpya Simba 2023/2024, Cv Ya Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba 2024, Mfahamu Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba SC 2023/24,Profile ya Babacar Sarr Mchezaji Mpya Simba, Profile ya Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba 2023/2024.

Babacar Sarr aliwahi kucheza dhidi ya Mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo katika mechi za michuano ya Klabu Bingwa ya Nchi za Kiarabu iliyopigwa Julai 31, mwaka jana kati ya Al Nassr dhidi ya US Monastir.

Katika mechi hiyo, Al Nassr ilishinda mabao 4-1 Mabao ya Talisca dakika ya 42, Ronaldo dakika ya 74, Alamri dakika ya 88 na All-Aliwa dakika ya 90, huku la US Monastir likifungwa na Alawjami aliyejifunga dakika ya 66.

Kombe la Arab Club Champions lilibebwa na Al Nassr baada ya kuifunga Al Hilal Katika mchezo wa Fainali uliofanyika August 12, 2023 kwenye Uwanja wa King Fahd uliopo Riyadh, Saudi Arabia.

Mabao ya Al Nassr kwenye mchezo huo yalifungwa na Cristiano Ronaldo yote mawili dakika ya 74 na 98, huku la Al Hilal likifungwa na Michael Richard Oliveira dakika ya 51.

Aidha Simba inatajwa kukamilisha usajili wa winga, Ladack Chasambi kutoka Mtibwa Sugar na winga wa Tanzania Prisons, Edwin Balua huku ikikamilisha taratibu za mwisho za usajili wa Mshambuliaji nyota kutoka Zimbabwe, Michael Charamba kutoka Chicken Inn.

Babacar Sarr Mchezaji Mpya Simba 2023/2024, Cv Ya Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba 2024, Mfahamu Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba SC 2023/24,Profile ya Babacar Sarr Mchezaji Mpya Simba, Profile ya Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba 2023/2024.

Babacar Sarr Mchezaji Mpya Simba 2023/2024

Mfahamu Babacar Sarr Simba SC, Know Babacar Sarr, History of Babacar Sarr Statistics, Awards Babacar Sarr, Record za Babacar Sarr Simba Sc, Takwimu za Babacar Sarr Simba, Statistics za Cesar Babacar Sarr sc, umri wa Babacar Sarr, timu alizowahi kuchezea Babacar Sarr, magoli aliyofunga Babacar Sarr, Timu alizochezea Babacar Sarr.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel