MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


BABACAR Sarr ni Mnyama 2023/2024

Filed in Michezo, Usajili by on 06/01/2024 0 Comments

BABACAR Sarr ni Mnyama 2023/2024

BABACAR Sarr ni Mnyama 2023/2024

BABACAR Sarr ni Mnyama 2023/2024

BABACAR Sarr ni Mnyama 2023/2024,Klabu ya Simba imefanikiwa kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Babacar Sarr raia wa Senegal mwenye umri wa miaka 26 kutoka US Monastir kwa mkataba wa miaka miwili.

Babacar Sarr ni kiungo mwenye uzoefu wa kucheza soka la Afrika ambapo mbali na Monastir amewahi kuzichezea Olympique Beja ya Tunisia, Teungueth FC, AS Pikine na Mbour P.C.

BABACAR Sarr ni Mnyama 2023/2024

BABACAR Sarr ni Mnyama 2023/2024

Babacar Sarr anao uwezo mkubwa wa kucheza kama kiungo mkabaji na wakati mwingine anaweza kucheza kama kiungo Mshambuliaji.

Babacar Sarr amekuja Simba Kuungana na Viungo wakati kama Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute, Mzamiru Yassin na Abdallah Khamis.

Usajili wa Sarr unakuwa wa Pili Kwa Simba katika dirisha hili la usajili baada ya kukamilisha usajili wa kiungo Salem Karabaka kutoka JKU SC ya Zanzibar.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel