MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

CHAMA, Kapama Wapigwa Stop Simba SC

Filed in Michezo by on 22/12/2023 0 Comments

CHAMA, Kapama Wapigwa Stop Simba SC

CHAMA, Kapama Wapigwa Stop Simba SC, Clatous Chama asimamishwa Simba, Nassor Kapama asimamishwa Simba, Simba yawasimamisha Kwa utovo wa nidhamu Clatous Chama na Nassor Kapama.

UONGOZI wa klabu ya Simba umewasimamisha wachezaji wawili viungo, Clautos Chama na Nassor Kapama kutokana na vitendo vya utovu wa nidhamu.

Kufuatia vitendo hivyo Wachezaji hao watapelekwa katika kamati ya nidhamu kwa hatua zaidi za kinidhamu.

CHAMA, Kapama Wapigwa Stop Simba SC, Clatous Chama asimamishwa Simba, Nassor Kapama asimamishwa Simba, Simba yawasimamisha Kwa utovo wa nidhamu Clatous Chama na Nassor Kapama.

CHAMA, Kapama Wapigwa Stop Simba SC

Klabu hiyo imekuwa na utaratibu wa kuwapeleka kamati ya nidhamu Wachezaji ili nao wao wapewe nafasi ya kusikilizwa kabla ya hatua zaidi kuchukuliwa dhidi yao.

Aidha Uongozi wa Simba unapenda kuwakumbusha Watumishi wake kuzingatia misingi ya maadili na nidhamu kwani klabu haitasita kumchukulia hatua yeyote atakayethibitika kwenda kinyume na utaratibu huo.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel