MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA



RATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Che Fondoh Malone Junior atua Simba SC

Filed in Michezo, Usajili by on 09/07/2023 0 Comments

Che Fondoh Malone Junior atua Simba SC

Che Fondoh Malone Junior atua Simba SC,Simba yamsajili Che Fondoh Malone Junior,Che Fondoh Malone Junior Simba SC,Che Fondoh Malone Simba, Che Fondoh Malone Junior Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Che Fondoh Malone Junior,Che Fondoh Malone Junior ni mnyama,Che Fondoh Malone Junior Mchezaji mpya Simba SC

Che Fondoh Malone Junior atua Simba SC

Che Fondoh Malone Junior atua Simba SC, Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa beki, Che Fondoh Malone Junior kutoka Cotton Sport, ambao ni Mabingwa wa Ligi Kuu ya Cameroon kwa Mkataba wa miaka miwili.

Che Malone mwenye umri wa miaka 24 raia wa Cameroon ana uwezo pia wa kucheza kama Beki wa Kulia na Kiungo Mkabaji.

Che Fondoh Malone ametua Simba kama mrithi wa Joash Onyango ambaye amepelekewa kwa mkopo Singida Fountain Gate FC ya Singida.

Che Fondoh Malone Junior atua Simba SC,Simba yamsajili Che Fondoh Malone Junior,Che Fondoh Malone Junior Simba SC,Che Fondoh Malone Simba, Che Fondoh Malone Junior Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Che Fondoh Malone Junior,Che Fondoh Malone Junior ni mnyama,Che Fondoh Malone Junior Mchezaji mpya Simba SCAidha Che Fondoh Malone Junior ndiye Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Cameroon msimu uliopita wa 2022/2023.

Che Fondoh Malone anakuwa Mchezaji wa tatu kusajiliwa na Simba kuelekea msimu mpya wa 2023/2024, baada ya kiungo mshambuliaji Aubin Kramo Kouamé kutoka Asec Mimosas ya Ivory Coast na Mshambuliaji, Leandre Essomba Willy Onana kutoka Rayon Sport ya Rwanda.

Beki huyo ambaye anafahamika kwa jina la utani la Ukuta wa Yericko (Wall Of Jericho) Msimu uliopita aliiwezesha timu yake ya Cotton Sports kutwaa Taji la Ligi Kuu ya Cameroon huku yeye akicheza karibia mechi zote.

Che Malone ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Cameroon ‘Indomitable Lions’ pamoja na timu inayoshiriki michuano ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN).

Che Fondoh Malone Junior Simba SCChe Fondoh Malone Junior atua Simba SC,Simba yamsajili Che Fondoh Malone Junior,Che Fondoh Malone Junior Simba SC,Che Fondoh Malone Simba, Che Fondoh Malone Junior Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Che Fondoh Malone Junior,Che Fondoh Malone Junior ni mnyama,Che Fondoh Malone Junior Mchezaji mpya Simba SC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags: , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel