MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA



RATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Corneille hategekimana Kocha mpya wa Viungo Simba SC

Filed in Michezo, New, Usajili by on 06/07/2023 0 Comments

Corneille hategekimana Kocha mpya wa Viungo Simba SC

Corneille hategekimana Kocha mpya wa Viungo Simba SC

Corneille hategekimana Kocha mpya wa Viungo Simba SC

Corneille hategekimana Kocha mpya wa Viungo Simba SC, Uongozi wa klabu ya Simba SC, umefikia makubaliano ya kumuajiri, Corneille Hategekimana raia wa Rwanda kuwa kocha mpya wa viungo wa Klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili.

Hategekimana mwenye umri wa miaka 47 amejiunga na Simba akitokea AS Kigali ya nchini kwao Rwanda.

Hategekimana amefuzu mafunzo ya kozi mbalimbali za viungo kwa wachezaji, na ana Diploma ya Uongozi wa Michezo, Mkufunzi wa viwango (GPS) kwa wachezaji, Kozi ya juu ya Viungo inayotolewa na FIFA aliyopata October 2018 Jijini Johannesburg, Afrika Kusini.

Corneille hategekimana Kocha mpya wa Viungo Simba SC,Corneille hategekimana Kocha mpya Simba,Corneille hategekimana Kocha wa Viungo Simba, CV ya Corneille hategekimana Kocha mpya Simba SC, Mfahamu Corneille hategekimana  Kocha mpya Simba SC, Mfahamu Corneille hategekimana Kocha wa Viungo Simba SC.CV ya Corneille Hategekimana Kocha mpya wa Viungo Simba SC / Wasifu wa Corneille Hategekimana Kocha mpya wa Viungo Simba SC.

Agosti 2022 hadi sasa, Kocha wa Viungo AS Kigali, ambapo ameshinda taji la Super Cup.

2021-2022 Kocha wa Viungo Polisi Rwanda.

2021 Kocha wa Viungo wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Rwanda.

2019-2021 Kocha wa Viungo wa AS Kigali.

2018 Kocha wa Viungo wa timu ya Taifa ya Rwanda chini ya umri wa miaka 23.

2017-2018 Mkurugenzi wa Ufundi na Kocha wa Viungo wa Rayon Sports, na ameshinda taji la Ligi pamoja na kufika Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

2016-2017 Kocha wa Viungo ISONGA Academy FC.

2015 mpaka sasa ni Mkufunzi wa CAF katika Sayansi ya Viungo.

2007-2017 Mwalimu wa Viungo IFAK Secondary School.

2009-2018 Mkurugenzi wa Ufundi katika Shule ya Gasabo.

2014-2015 Kocha wa Viungo wa Kiyovu FC.

Corneille hategekimana Kocha mpya wa Viungo Simba SC,Corneille hategekimana Kocha mpya Simba,Corneille hategekimana Kocha wa Viungo Simba, CV ya Corneille hategekimana Kocha mpya Simba SC, Mfahamu Corneille hategekimana  Kocha mpya Simba SC, Mfahamu Corneille hategekimana Kocha wa Viungo Simba SC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel