MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


CV ya Cesar Lobi Manzoki

Filed in Michezo, Usajili by on 03/01/2024 0 Comments

CV ya Cesar Lobi Manzoki

CV ya Cesar Lobi Manzoki, Mfahamu Cesar Lobi Manzoki Mchezaji wa Simba SC, Historia ya CESAR Manzoki, CV ya Cesar Manzoki, Historia ya Cesar Manzoki, Umri Wa Cesar Manzoki Simba, Timu alizowahi kuchezea Cesar Lobi Manzoki.

CV ya Cesar Lobi Manzoki

CV ya Cesar Lobi Manzoki, Mfahamu Cesar Lobi Manzoki Mchezaji wa Simba SC, Historia ya CESAR Manzoki, CV ya Cesar Manzoki, Historia ya Cesar Manzoki, Umri Wa Cesar Manzoki Simba, Timu alizowahi kuchezea Cesar Lobi Manzoki.

Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji, Cecar Lobi Manzoki mwenye umri wa miaka 27 Dalian Professional ya China Kwa mkataba wa miezi 6.

Cecar Lobi Manzoki ni Mchezaji wa Mpira wa Miguu raia wa Afrika ya Kati aliyekuwa akikipiga katika klabu Dalian Professional ya China.

Cecar Lobi Manzoki mwenye umri wa miaka 27 ni Mchezaji Mpya wa Klabu ya Simba SC yenye maskani yake Mtaa wa Msimbazi, Jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Cesar Lobi Manzoki alizaliwa 12 Oktoba 1996 Zaire, anachezea timu ya taifa ya Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Tarehe 28 Julai 2020, Manzoki alijiunga na Vipers SC katika Ligi Kuu ya Uganda ambapo alicheza michezo 46 na kufunga mabao 26 huku kutoa pasi za mabao 13.

Msimu wa 2020/21, alishinda kiatu cha dhahabu cha stanbic Uganda Cup akifunga mabao 7 na pia alishinda kiatu cha dhahabu cha Ligi akiwa na mabao 18 msimu uliofuata.

Alishinda tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi wa Pilsner mara 4 na alijuishwa katika Kikosi Bora Cha Ligi Kuu ya uganda msimu wa 2021/22.

CV ya Cesar Lobi Manzoki, Mfahamu Cesar Lobi Manzoki Mchezaji wa Simba SC, Historia ya CESAR Manzoki, CV ya Cesar Manzoki, Historia ya Cesar Manzoki, Umri Wa Cesar Manzoki Simba, Timu alizowahi kuchezea Cesar Lobi Manzoki.

CV ya Cesar Lobi Manzoki

Alishinda Kombe 1 la Uganda na 1 ligi Kuu ya Uganda akiwa na Vipers SC, tarehe 25 Agosti 2022, Manzoki alisajiliwa na Dalian Pro ya China.

Manzoki aliiwakilisha timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika mechi tatu mwaka wa 2016.

Baada ya alibadilisha na kuwakilisha timu ya taifa ya Jamhuri ya Afrika ya Kati mwaka wa 2022 kutokana na mababu zake kutoka nchini humo.


Personal information
Full name: Cezar Lobi Manzoki
Date of birth: 12 October 1996 (age 27)
Place of birth: Bunia, DR Congo
Height: 1.89 m (6 ft 2 in)
Position(s): Striker

TRANSFER HISTORY
DL Pro – 2022/2023
August 25, 2022

Vipers SC – 2020/2021
October 30, 2020

AS Vita Club – 2018/2019
July 01, 2018

Maniema – 2017/2018
August 01, 2017

Dauphins Noirs – 2011/2012
January 01, 2012

Lobi Manzoki
Personal information
Full name Cesar Lobi Manzoki
Date of birth 12 October 1996 (age 27)
Place of birth Bunia, Zaire
Height 1.89 m (6 ft 2 in)
Position(s) Striker
Team information
Current team
Dalian Professional
Number 45
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
2012–2017 AS Dauphins Noirs
2017–2018 AS Maniema Union
2018–2020 AS Vita Club
2020–2022 Vipers SC
2022– Dalian Pro 24 (7)
International career
2016 DR Congo 3 (0)
2022– Central African Republic 3 (0)

Mfahamu Cesar Manzoki Simba SC, Know Cesar Manzoki, History of Cesar Manzoki, Statistics, Awards Cesar Manzoki Vipers, Record za Cesar Manzoki Simba Sc, Takwimu za Cesar Manzoki Simba, Statistics za Cesar Manzoki Simba sc.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel