MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

CV ya Franklin Navarro Mshambuliaji Mpya Azam FC 2023/2024

Filed in Michezo, Usajili by on 31/12/2023 0 Comments

CV ya Franklin Navarro Mshambuliaji Mpya Azam FC 2023/2024

CV ya Franklin Navarro Mshambuliaji Mpya Azam FC 2023/2024,CV ya Franklin Navarro – Azam FC Player Profile, Usajili mpya Azam FC 2023/24,CV ya Franklin Navarro Mshambuliaji Mpya Azam FC 2023/24, Franklin Navarro - Player profile, timu alizocheza Franklin Navarro, Franklin Navarro Azam Fc, miaka ya Franklin Navarro,Cv Ya Franklin Navarro Mshambuliaji Mpya Wa Azam, Franklin Navarro  - Wikipedia, timu alizochezea Franklin Navarro.

CV ya Franklin Navarro Mshambuliaji Mpya Azam FC 2023/2024

CV ya Franklin Navarro Mshambuliaji Mpya Azam FC 2023/2024,CV ya Franklin Navarro – Azam FC Player Profile, Usajili mpya Azam FC 2023/24.

Franklin Navarro ni Mchezaji wa Mpira wa Miguu raia wa Colombia aliyekuwa akikipiga katika klabu Cortuluá FC ya Daraja la Pili nchini kwao.

Franklin Navarro mwenye umri wa miaka 24 ni Mchezaji Mpya wa Klabu ya Azam FC yenye maskani yake Mtaa wa Chamazi, Temeke Jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Hivi Karibuni Azam FC imemtambulisha Franklin Navarro kama Mchezaji wao mpya wa Kwanza Katika kuboresha Kikosi Chao msimu 2023/24.

Msimu huu akiwa na Klabu yake ya Cortuluá FC ya Daraja la Pili, Navarro amefanikiwa kufunga bao moja na kutoa asisti mbili katika mechi 14.

CV ya Franklin Navarro Mshambuliaji Mpya Azam FC 2023/2024,CV ya Franklin Navarro – Azam FC Player Profile, Usajili mpya Azam FC 2023/24,CV ya Franklin Navarro Mshambuliaji Mpya Azam FC 2023/24, Franklin Navarro - Player profile, timu alizocheza Franklin Navarro, Franklin Navarro Azam Fc, miaka ya Franklin Navarro,Cv Ya Franklin Navarro Mshambuliaji Mpya Wa Azam, Franklin Navarro  - Wikipedia, timu alizochezea Franklin Navarro.

CV ya Franklin Navarro Mshambuliaji Mpya Azam FC 2023/2024

Kusajiliwa kwa Mshambuliaji huyo wa Colombia kunaonyesha dhamira ya Azam FC ya kuimarisha safu yake ya Ushambuliaji na kuongeza utofauti kwenye kikosi chake chenye Washambuliaji wengine Kama Prince Dube kutoka Zimbabwe na Alassane Diao raia wa Senegal.

Mashabiki na wapenzi wa Klabu ya Azam FC watakuwa na shauku ya kuona aina ya Uchezaji wa Franklin Navarro mzaliwa wa Sabanalarga, nchini Colombia.

Uwezo wake wa kupachika mabao na uchezaji wake unaweza kumfanya kuwa Mshambuliaji tegemezi kwani Azam FC inalenga kupata mafanikio katika Mashindano ya ndani na nje ya nchi.

CV ya Franklin Navarro Mchezaji Mpya Azam, CV ya Franklin Navarro Mchezaji Mpya Azam Football Club.

Name in home country: Franklin de Jesús Navarro Berdugo
Date of birth/Age: Apr 29, 1999 (24)
Place of birth: Sabanalarga Colombia
Height: 1,72 m
Citizenship: Colombia
Position: Attack – Centre-Forward
Foot: right
Player agent: Possofutbol
Current club: Azam FC
Joined: December 29, 2023

CV ya Franklin Navarro Mshambuliaji Mpya Azam FC 2023/24, Franklin Navarro – Player profile, timu alizocheza Franklin Navarro, Franklin Navarro Azam Fc, miaka ya Franklin Navarro,Cv Ya Franklin Navarro Mshambuliaji Mpya Wa Azam, Franklin Navarro  – Wikipedia, timu alizochezea Franklin Navarro.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel