MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


CV ya Freddy Michael Kouablan Mshambuliaji Mpya Simba 2024

Filed in Michezo, Usajili by on 17/01/2024 0 Comments

CV ya Freddy Michael Kouablan Mshambuliaji Mpya Simba 2024

CV ya Freddy Michael Kouablan Mshambuliaji Mpya wa Simba 2024, Freddy Michael Kouablan ni Mnyama, CV ya Freddy Kouablan Mshambuliaji Mpya Simba 2024, Mfahamu Freddy Kouablan Mchezaji wa Simba SC.

CV ya Freddy Michael Kouablan Mshambuliaji Mpya wa Simba 2024

CV ya Freddy Michael Kouablan Mshambuliaji Mpya Simba 2024, Freddy Michael Kouablan ni Mnyama, CV ya Freddy Kouablan Mshambuliaji Mpya Simba 2024, Mfahamu Freddy Kouablan Mchezaji wa Simba SC.

Klabu ya Simba SC imetangaza kukamilisha usajili wa Mshambuliaji, Freddy Michael Kouablan raia wa Ivory Coast kutoka Green Eagles ya Zambia Kwa mkataba wa miaka miwili.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 25 amefunga magoli 14 kwenye Mechi 18 alizoichezea Green Eagles.

Aidha Freddy Michael Kouablan ndiye Kinara wa mabao kwenye Ligi kuu Zambia (Zambia Super League) akiwa na mabao 14, kwenye raundi ya 19, huku timu yake Green Eagles inashika nafasi ya 4.

CV ya Freddy Michael Kouablan Mshambuliaji Mpya wa Simba 2024, Freddy Michael Kouablan ni Mnyama, CV ya Freddy Kouablan Mshambuliaji Mpya Simba 2024, Mfahamu Freddy Kouablan Mchezaji wa Simba SC.

CV ya Freddy Michael Kouablan Mshambuliaji Mpya wa Simba 2024

CV ya Freddy Michael Kouablan Mshambuliaji Mpya Simba 2024

Usajili wa Fredy Michael Kouablan unakuwa usajili wa tano wa Simba katika dirisha hili dogo baada ya Salehe Karabaka kutoka JKU SC, Babacar Sarr kutoka US Monastir, Ladack Chasambi kutoka Mtibwa Sugar na Pa Omar Jobe kutoka FC Zhenis ya Kazakhstan.

MTN Super League 2023/24 Top Scorer’s Chart

As of the current season in the Zambia Premier League 2023/24, the top scorers are lighting up the league with their goal-scoring prowess. Here is the updated top scorer’s chart:

Historia ya Freddy Michael Kouablan, CV ya Freddy Michael Kouablan, Historia ya Freddy Michael Kouablan, Umri Wa Freddy Michael Kouablan Simba, Timu alizowahi kuchezea Freddy Michael Kouablan.

# Player Team Goals
1 Freddy Micheal Green Eagles 14
2 Andrew Phiri FC MUZA 8
3 Kelvin Kampamba Zesco United 7
4 Enock Sakala Zesco United 7
5 Ocean Mushure Kabwe Warriors 7
6 Mwamba Mutombo Kabwe Warriors 6
7 Clive Biyeta Mufulira W 6
8 Ricky Banda Red Arrows 6
9 Dalitso Lungu Mutondo Stars 5
10 Andy Boyeli Power Dynamos 5

Profile ya Freddy Michael Kouablan, Mfahamu Freddy Michael Kouablan Simba SC, Know Freddy Michael Kouablan, History of Freddy Michael Kouablan, Statistics and Awards of Freddy Michael Kouablan, Record za Freddy Michael Kouablan Simba Sc, Takwimu za Freddy Michael Kouablan Simba, Statistics za Freddy Michael Kouablan Simba sc, Freddy Michael Kouablan New Simba Player.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel