MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

CV ya Ladaki Chasambi Mchezaji Mpya Simba 2023/2024

Filed in Usajili, Michezo by on 08/01/2024 0 Comments

CV ya Ladaki Chasambi Mchezaji Mpya Simba 2023/2024

CV ya Ladaki Chasambi Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2023, CV Ya Ladaki Chasambi Wa Simba, Mfahamu Ladaki Chasambi, Ladaki Chasambi Profile Player, Mfahamu Ladaki Chasambi New Simba Player 2023,CV Ya Mchezaji Ladaki Chasambi, Mfahamu Ladaki Chasambi Mchezaji Mpya wa Simba.

CV ya Ladaki Chasambi Mchezaji Mpya wa Simba 2023/2024

CV ya Ladaki Chasambi Mchezaji Mpya Simba 2023/2024, Mchezaji Mpya wa Simba Usajili Dirisha Dogo, Tranfer News Ligi Kuu Tanzania 2023/2024, Ladaki Chasambi play for Mtibwa Sugar, Age 19years,Tetesi za Usajili mpya Simba 2023/2024, É. Ladaki Chasambi – Profile with news, career statistics, records, goals, assists, strengths & weaknesses and match ratings.

Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa winga Ladaki Chasambi kutoka Mtibwa Sugar akisaini mkataba wa miaka mitatu.

Ladaki Chasambi ni kijana mdogo mwenye kipaji kikubwa kutoka Kisaki mkoani Morogoro Tanzania ambaye alipandishwa katika timu ya wakubwa ya Mtibwa Sugar rasmi msimu huu wa 2023/24 kutoka timu ya vijana ya U20 inayoshikilia Ubingwa wa Ligi ya umri huo kwa msimu wa tano mfululizo.

Ladaki Chasambi ndiye Mshindi wa tuzo ya mchezaji Bora wa vichuano ya vijana tena mara mbili mfululizo (MVP) .

CV ya Ladaki Chasambi Mchezaji Mpya Simba 2023/2024, Mchezaji Mpya wa Simba Usajili Dirisha Dogo, Tranfer News Ligi Kuu Tanzania 2023/2024, Ladaki Chasambi play for Mtibwa Sugar, Age 19years,Tetesi za Usajili mpya Simba 2023/2024, É. Ladaki Chasambi – Profile with news, career statistics, records, goals, assists, strengths & weaknesses and match ratings.

CV ya Ladaki Chasambi Mchezaji Mpya Simba 2023/2024

Chasambi aliamini katika Mpira ndiyo ndoto yake hivo alikataa shule mbele ya mzazi wake kuwa hataki shule anataka kucheza mpira ndiyo kitu anachokipenda na kukiweza.

Chasambi anakuwa Mchezaji mpya wa Kwanza kusajiliwa na Simba Katika dirisha hili dogo la usajili Katika kuboresha Kikosi Chao msimu 2023/24.

CV ya Ladaki Chasambi Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2023, CV Ya Ladaki Chasambi Wa Simba, Mfahamu Ladaki Chasambi, Ladaki Chasambi Profile Player, Mfahamu Ladaki Chasambi New Simba Player 2023,CV Ya Mchezaji Ladaki Chasambi, Mfahamu Ladaki Chasambi Mchezaji Mpya wa Simba.Ladaki alisoma form one pekee katika shule ya Morogoro Secondary.

CV ya Ladaki Chasambi Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2023, CV Ya Ladaki Chasambi Wa Simba, Mfahamu Ladaki Chasambi, Ladaki Chasambi Profile Player, Mfahamu Ladaki Chasambi New Simba Player 2023,CV Ya Mchezaji Ladaki Chasambi, Mfahamu Ladaki Chasambi Mchezaji Mpya wa Simba.

Baada ya kukataa shule akajiunga na kituo Cha Moro kids, baadae akachaguliwa kujiunga na Serengeti Boys ya Kina Kelvin John akiwa mdogo baadae akawa nahodha wa timu ya Serengeti baada ya Kelvin John kusajiliwa nje ya nchi.

Ladaki Chasambi Profile
Name: Ladaki Juma Chasambi

Date of birth/Age: Mar 15, 2004 (19)

Citizenship: Tanzania

Home City: Morogoro

Position: Midfielder

Current club: Mtibwa Sugar

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel