MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


CV ya Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya wa Yanga

Filed in Michezo, New, Usajili by on 08/07/2023 0 Comments

CV ya Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya wa Yanga

CV ya Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya wa Yanga,Are you searching for CV ya Kocha Mpya wa Yanga 2023, cv ya kocha Miguel Ángel Gamondi, mafanikio ya Miguel Ángel Gamondi, timu alizofundisha Miguel Ángel Gamondi, timu alizofundisha Miguel Ángel Gamondi,Umri wa Miguel Ángel Gamondi, Kocha mpya wa Yanga huyu hapa, Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya wa Yanga 2023, Miguel Ángel Gamondi Mrithi wa Nabi Yanga.

CV ya Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya wa Yanga

CV ya Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya wa Yanga, klabu Yanga imemuajiri Miguel Ángel Gamondi kama Kocha wake Mkuu akichukua mikoba ya Mtunisia Nasreddine Nabi aliyeondoka baada ya mkataba wake kufikia tamati June 2023.

Gamondi, ambaye ni mzaliwa wa mji wa Olavarría, alianza kama mchezaji katika klabu ya nyumbani kwao, Ferrocarril Sud na alipostaafu mwaka 1987 akahamia kwenye ukocha.

Alianza kufundisha klabu za kwao Ferrocarril Sud, Racing, El Fortín, San Martín de Tucumán na Racing Club de Avellaneda kabla ya kuja Afrika.

Mwaka 2000 alikuwa Msaidizi wa Muargentina mwenzake, Oscar Fulloné katika klabu ya Al-Ahly ya Libya kabla ya kuhama naye kwenye timu ya taifa ya Burkina Faso December mwaka 2001.

CV ya Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya wa Yanga,Are you searching for CV ya Kocha Mpya wa Yanga 2023, cv ya kocha Miguel Ángel Gamondi, mafanikio ya Miguel Ángel Gamondi, timu alizofundisha Miguel Ángel Gamondi, timu alizofundisha Miguel Ángel Gamondi,Umri wa Miguel Ángel Gamondi, Kocha mpya wa Yanga huyu hapa, Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya wa Yanga 2023, Miguel Ángel Gamondi Mrithi wa Nabi Yanga,CV and Profile Ya Kocha Mpya wa Yanga SC Miguel Gamondi 2023.Gamondi pia amewahi kuwa Kocha Msaidizi wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Wydad Casablanca ya Morocco, Espérance na Étoile du Sahel za Tunisia kabla ya kuwa Msaidizi wa Muargentina mwenzake mwingine, Ángel Cappa katika klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini mwaka 2005.

Kwa mara ya kwanza alikuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Platinum Stars ya Afrika Kusini December mwaka 2007 na kuiongoza timu hiyo kufika hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika mwaka 2008.

Baadae akazifundisha CR Belouizdad na USM Alger za Algeria, Ittihad Kalba na Al Urooba za Falme za Karabu (UAE), Hassania Agadir, Wydad AC na Ittihad Tanger za Morocco kama Kocha Mkuu na kwa mafanikio.

Mara ya mwisho Gamondi alifundisha Ittihad Tanger ambako alifukuzwa Aprili 2022 kwa pamoja na Msaidizi wake, Tarek Chihab.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 56 ana uzoefu mkubwa na soka la Afrika kwani amewahi kuwa kocha Mkuu wa Mamelodi Sundowns, USM Alger, Wydad Casablanca, Platinum Stars na CR Belouzidad kwa nyakati tofauti.

MIGUEL ANGEL GAMONDI Kocha mpya Young Africans SC miguelgamondi Kocha wa Makombe kwenye familia ya Wananchi #mkutanomkuuyasc2023 #timuyawananchi #daimambelenyumamwikoGamondi pia amewahi kuwa kocha msaidizi timu ya taifa ya Burkina Faso na Esperance Sportive de Tunis.


Miguel Ángel Gamondi (born 1 December 1963) is an Argentine football manager and former player who manages Tanzanian club Young Africans.

MIGUEL ANGEL GAMONDI Kocha mpya Young Africans SC Donwload Mp4 

Personal information
Full name Miguel Ángel Gamondi
Date of birth 1 December 1963 (age 59)
Place of birth Olavarría, Argentina
Height 1.85 m (6 ft 1 in)
Team information
Current team
Young Africans SC (manager)
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
–1987 Ferrocarril Sud
Managerial career
1998–1999 Racing Club de Avellaneda
2000 Al-Ahly (Tripoli) (assistant)
2001–2002 Burkina Faso (assistant)
2002–2003 Wydad AC (assistant)
2004 Espérance Sportive de Tunis (assistant)
2005–2006 Mamelodi Sundowns
2007 Hassania Agadir
2007–2009 Platinum Stars
2010–2011 CR Belouizdad
2011–2012 Ittihad Kalba
2012 USM Alger
2013–2014 CR Belouizdad
2014 Al Urooba
2015–2017 Hassania Agadir (technical director)
2017–2019 Hassania Agadir
2020 Wydad AC
2021– IR Tanger

CV ya Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya wa Yanga,Are you searching for CV ya Kocha Mpya wa Yanga 2023, cv ya kocha Miguel Ángel Gamondi, mafanikio ya Miguel Ángel Gamondi, timu alizofundisha Miguel Ángel Gamondi, timu alizofundisha Miguel Ángel Gamondi,Umri wa Miguel Ángel Gamondi, Kocha mpya wa Yanga huyu hapa, Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya wa Yanga 2023, Miguel Ángel Gamondi Mrithi wa Nabi Yanga,CV and Profile Ya Kocha Mpya wa Yanga SC Miguel Gamondi 2023.Yanga SC have confirmed the appointment of Argentine coach Miguel Ángel Gamondi as their new head coach on a two-year deal

Born in Olavarría, Gamondi played football for local side Club Ferrocarril Sud.

After he retired from playing, Gamondi managed several clubs in Argentina, including Ferro Carril Sud, Racing, El Fortín, San Martín de Tucumán and Racing Club de Avellaneda.

In 2000, Gamondi moved to Africa to be join Oscar Fulloné as an assistant coach to the Libyan side Al-Ahly. He also became an assistant coach to Oscar Fulloné at the Burkina Faso national football team in December 2001,and would later become an assistant coach at ASEC Mimosas, Wydad Casablanca, Espérance Sportive de Tunis and Étoile du Sahel.

He was appointed assistant manager to Ángel Cappa at South African side Mamelodi Sundowns in 2005.Then he was appointed manager of Platinum Stars in December 2007,and led Stars into the final 16 of the 2008 CAF Confederation Cup, its first foray into continental competition.

CV ya Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya wa Yanga,Are you searching for CV ya Kocha Mpya wa Yanga 2023, cv ya kocha Miguel Ángel Gamondi, mafanikio ya Miguel Ángel Gamondi, timu alizofundisha Miguel Ángel Gamondi, timu alizofundisha Miguel Ángel Gamondi,Umri wa Miguel Ángel Gamondi, Kocha mpya wa Yanga huyu hapa, Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya wa Yanga 2023, Miguel Ángel Gamondi Mrithi wa Nabi Yanga,CV and Profile Ya Kocha Mpya wa Yanga SC Miguel Gamondi 2023.Later on, he managed CR Belouizdad and USM Alger in Algeria, Ittihad Kalba and Al Urooba in the United Arab Emirates, then Hassania Agadir, Wydad AC and Ittihad Tanger in Morocco.

CV ya Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya wa Yanga,Are you searching for CV ya Kocha Mpya wa Yanga 2023, cv ya kocha Miguel Ángel Gamondi, mafanikio ya Miguel Ángel Gamondi, timu alizofundisha Miguel Ángel Gamondi, timu alizofundisha Miguel Ángel Gamondi,Umri wa Miguel Ángel Gamondi, Kocha mpya wa Yanga huyu hapa, Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya wa Yanga 2023, Miguel Ángel Gamondi Mrithi wa Nabi Yanga,CV and Profile Ya Kocha Mpya wa Yanga SC Miguel Gamondi 2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags: , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel