MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


DANIEL Cadena Kocha Mpya wa Makipa Simba SC

Filed in Michezo, Usajili by on 06/07/2023 0 Comments

DANIEL Cadena Kocha Mpya wa Makipa Simba SC

DANIEL Cadena Kocha Mpya wa Makipa Simba SC

DANIEL Cadena Kocha Mpya wa Makipa Simba SC

DANIEL Cadena Kocha Mpya wa Makipa Simba SC, Uongozi wa klabu ya Simba SC, umefikia makubaliano ya kumuajiri Daniel Cadena kuwa kocha wa makipa wa kikosi hicho kwa mkataba wa miaka miwili.

Cadena mwenye umri wa miaka 45 raia wa Hispania ana leseni ya Shirikisho la Soka Barani Ulaya (UEFA), akiwa na uzoefu mkubwa.

Cadena ana wasifu mkubwa ambapo amezifundisha timu mbalimbali barani Ulaya, China pamoja na Falme za Kiarabu kabla ya kuja Afrika.

DANIEL Cadena Kocha Mpya wa Makipa Simba SC, Daniel Cadena Kocha Mpya Simba, Kocha mpya wa Makipa Simba SC, Simba yasajili Kocha wa Makipa, Simba yasajili Kocha mpya wa Makipa.Cadena amejiunga na Simba akitokea Azam FC alipodumu kwa mwaka mmoja kabla ya mkataba wake kumalizika.

Cadena pia amewahi kukinoa kikosi cha timu ya vijana Sevilla FC ya Hispania msimu wa 2018/2019.

Cadena ameisajiliwa Simba kuchukua nafasi ya Chlouha Zakaria raia wa Morocco ambaye ameachwa mwezi uliopita baada ya mkataba wake kumalizika.

DANIEL Cadena Kocha Mpya wa Makipa Simba SC, Daniel Cadena Kocha Mpya Simba, Kocha mpya wa Makipa Simba SC, Simba yasajili Kocha wa Makipa, Simba yasajili Kocha mpya wa Makipa.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel