MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


DUBE aaga rasmi Azam FC

Filed in Michezo, Usajili by on 07/03/2024 0 Comments

DUBE aaga rasmi Azam FC

DUBE aaga rasmi Azam FC

DUBE aaga rasmi Azam FC

DUBE aaga rasmi Azam FC, Mshambuliaji wa Kimataifa wa Zimbabwe na Azam FC Prince Dube ameandika barua ya kuiaga Klabu ya Azam FC baada ya kuitumikia kwa miaka minne.

Hapo awali Dube aliandika barua ya kuvunja mkataba na Klabu hiyo na kukubaliwa lakini uzito ulikuja kwenye kiasi cha pesa ambacho anatakiwa kukilipa ili kuvunja mkataba ambacho ni USD 300,000 (zaidi ya Tsh. milioni 700) pesa ambazo hadi leo anatoa taarifa hii ya kuaga hajazilipa, chanzo cha kuaminika kimeiambia Nijuze Habari.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Dube ameandika;

THANK YOU
AZAM FC
IT’S WITH MIXED EMOTIONS THAT I ANNOUNCE MY DEPARTURE FROM AZAM FC. THESE FOUR YEARS HAVE BEEN AN INCREDIBLE JOURNEY, FILLED WITH CHALLENGES, VICTORIES AND CHERISHED MEMORIES. I WANT TO EXPRESS MY DEEPEST GRATITUDE TO EVERYONE ASSOCIATED WITH THE CLUB, FROM THE MANAGEMENT TO THE COACHING STAFF, MY TEAMMATES, AND MOST IMPORTANTLY, THE FANS.

AS I MOVE ON TO A NEW CHAPTER IN MY CAREER, I CARRY WITH ME THE LESSONS LEARNED DURING MY TIME AT AZAM FC THE SUPPORT I’VE RECEIVED FROM THE FANS HAS BEEN NOTHING SHORT OF AMAZING AND I WILL FOREVER CHERISH THE MEMORIES WE’VE CREATED TOGETHER.

I BELIEVE IN THE STRENGTH AND POTENTIAL OF THIS CLUB, AND I HAVE NO DOUBT THAT IT WILL CONTINUE TO ACHIEVE GREAT THINGS. I WISH AZAM FC MY TEAMMATES, THE COACHING STAFF AND THE FANS ALL THE SUCCESS AND HAPPINESS IN THE WORLD. THANK YOU FOR THE INCREDIBLE JOURNEY.

DUBE aaga rasmi Azam FC

PIA UNAWEZA KUSOMAūüĎá

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel