MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Fabrice Luamba Ngoma atambulishwa Simba SC

Filed in Michezo, New, Usajili by on 14/07/2023 0 Comments

Fabrice Luamba Ngoma atambulishwa Simba SC

Fabrice Luamba Ngoma atambulishwa Simba SC

Fabrice Luamba Ngoma atambulishwa Simba SC

Fabrice Luamba Ngoma atambulishwa Simba SC, Klabu ya Simba SC imemtambulisha Kiungo, Farbice Luamba Ngoma kutoka Al Hilal ya Sudan kuwa mchezaji wao mpya kuelekea msimu ujao wa 2023/2024.

Ngoma mwenye umri wa miaka 29 raia wa DR Congo amejiunga na Simba kwa mkataba wa miaka miwili.

Ngoma ni mchezaji mzoefu ambaye anaweza kucheza kama kiungo mkabaji huku akiwa na uwezo mkubwa wa kupiga pasi kwa usahihi kutoka nyuma hadi mbele kwa washambuliaji.

Ngoma ni mchezaji mwenye wasifu mkubwa katika soka la Afrika na ambapo ataongeza kitu kikubwa kwenye kikosi cha Simba kuelekea msimu ujao wa mashindano 2023/2024.

Fabrice Luamba Ngoma atambulishwa Simba SC, Simba yamsajili Fabrice Luamba Ngoma,Fabrice Luamba Ngoma Simba SC,Fabrice Luamba Ngoma Simba, Fabrice Luamba Ngoma Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Fabrice Luamba Ngoma,Fabrice Luamba Ngoma ni mnyama,Fabrice Luamba Ngoma Mchezaji mpya Simba SC.Ngoma anakumbukwa kwa kiwango bora alichoonyesha mwaka 2018 akiwa katika kikosi bora cha AS Vita Club kilichocheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Raja Casablanca huku akifunga bao la tatu.

Mbali na Al Hilal na AS Vita, Ngoma ambaye ana urefu wa futi sita pia amewahi kuzitumikia klabu za Raja Casablanca (Morocco), Al Fahaheel FC (Kuwait) na Ifeanyi Ubah FC (Nigeria).

Aidha Simba imesema kuwa Ngoma atasafiri pamoja na Wachezaji wengine waliokuwa wamebaki kuelekea nchini Uturuki kujiunga na Wachezaji wanaoendelea na kambi ya maandalizi ya msimu mpya wa mashindano wa 2023/2024.

Fabrice Luamba Ngoma atambulishwa Simba SC, Simba yamsajili Fabrice Luamba Ngoma,Fabrice Luamba Ngoma Simba SC,Fabrice Luamba Ngoma Simba, Fabrice Luamba Ngoma Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Fabrice Luamba Ngoma,Fabrice Luamba Ngoma ni mnyama,Fabrice Luamba Ngoma Mchezaji mpya Simba SC.

Fabrice Luamba Ngoma atambulishwa Simba SC

Fabrice Luamba Ngoma anakuwa Mchezaji mpya wa tano kusajiliwa na Simba kuelekea msimu mpya wa 2023/2024, baada ya beki, Che Fondoh Malone Junior kutoka Cotton Sport ya Cameroon na Beki wa Kulia David Kameta aliyerejeshwa kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro alipokuwa kwa mkopo.

Wengine ni kiungo Mshambuliaji, Aubin Kramo Kouamé kutoka ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Mshambuliaji, Leandre Essomba Willy Onana kutoka Rayon Sport ya Rwanda.

Fabrice Luamba Ngoma atambulishwa Simba SC, Simba yamsajili Fabrice Luamba Ngoma,Fabrice Luamba Ngoma Simba SC,Fabrice Luamba Ngoma Simba, Fabrice Luamba Ngoma Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Fabrice Luamba Ngoma,Fabrice Luamba Ngoma ni mnyama,Fabrice Luamba Ngoma Mchezaji mpya Simba SC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags: , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel