MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


FOMU ya Rufaa Matokeo ya kidato cha Nne 2023/2024

Filed in NECTA by on 28/01/2024 0 Comments

FOMU ya Rufaa Matokeo ya kidato cha Nne 2023/2024

FOMU ya Rufaa Matokeo ya kidato cha Nne 2023/2024,Matokeo ya kidato cha nne 2024 tanzania live, Matokeo ya kidato cha nne 2024 necta, Matokeo ya kidato cha nne shule ya sekondari, Matokeo kidato cha nne 2024 results.

FOMU ya Rufaa Matokeo ya kidato cha Nne 2023/2024

FOMU ya Rufaa Matokeo ya kidato cha Nne 2023/2024,Matokeo ya kidato cha nne 2024 tanzania live, Matokeo ya kidato cha nne 2024 necta, Matokeo ya kidato cha nne shule ya sekondari, Matokeo kidato cha nne 2024 results.

After Tanzania Mainland had pulled out of the East African Examinations Council, in 1971 and before NECTA was established by Law, in 1973, the Curriculum and Examinations Section of the Ministry of Education was responsible for all examinations.

With the establishment of NECTA, the Examinations became its responsibility in accordance with the law. The Curriculum continued to be under the Ministry of Education and the University College, Dar es Salaam until when it was taken over by the newly established, autonomous Institute of Curriculum Development (ICD) in 1975, which in 1993 was renamed as the Tanzania Institute of Education (TIE).FOMU ya Rufaa Matokeo ya kidato cha Nne 2023/2024,Matokeo ya kidato cha nne 2024 tanzania live, Matokeo ya kidato cha nne 2024 necta, Matokeo ya kidato cha nne shule ya sekondari, Matokeo kidato cha nne 2024 results.

MAELEKEZO MUHIMU

 • Hakikisha unajaza taarifa sahihi katika fomu hii.
 • Unapaswa kuandika anwani yako
  kamili ambayo itatumika katika mawasiliano ya kukupatia matokeo ya usahihishaji upya wa skripti yako/zako.
 • Gharama ya kusahihishiwa upya ni shilingi 20,000/= kwa somo moja.
 • Malipo kwaajili ya kusahihishiwa rufaa yafanyike kwa kutumia namba maalum (Control Number) inayotolewa na mfumo wa malipo ya serikali kwa kieletroniki (GePG) kupitia tovuti ya NECTA: www.necta.go.tz.
 • Malipo yote yafanyike kupitia benki za NMB, CRDB na NBC au kwa kutumia mitandao ya kifedha ya T-Pesa (TTCL), M-Pesa (Vodacom), Tigo Pesa (Tigo), Ezy Pesa (Zantel), na Airtel Money (Airtel)
 • Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
 • Endapo utajaza taarifa zisizo sahihi ambazo zitasababisha kusahihisha skripti nyingine tofauti na matarajio yako, fedha uliyolipa HAITARUDISHWA na itakupasa kulipa tena gharama za usahihishaji wa rufaa yako.
 • Unapaswa kurudisha fomu ya rufaa (RF2) pamoja na risiti ya malipo kwa Katibu Mtendaji, Baraza la Mitihani Tanzania, S.L.P 2624 Dar es Salaam, kabla ya kipindi cha rufaa kumalizika (ndani ya mwezi mmoja tangu tarehe matokeo yalipotangazwa).
 • Unatakiwa kutoa nakala ya fomu (RF2) na risiti ya malipo na kubaki navyo kama kumbukumbu yako.

FOMU YA RUFAA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2023/2024 DOWNLOAD PDF

Between 1972 and 1976 the first staff of NECTA were recruited, among them was Mr. P. P Gandye who was recruited in 1972 and later on in 1994 was appointed as Executive Secretary. The other staff members continued to be recruited and especially so when NECTA’s premises moved from the Ministry of Education Headquarters to the present premises at Kijitonyama near Mwenge. Currently the number of NECTA’s staff is more than 340.

The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) is Government Institution which was established by the Parliamentary Act No. 21 of 1973. NECTA is responsible for the administration of all National Examinations and Assessments in Tanzania.

The decision to establish NECTA was a follow-up of an earlier move, in April 1971, when Tanzania Mainland pulled out of the East African Examinations Council (EAEC) to conduct her own examinations. Zanzibar pulled out of EAEC in 1970. Before the pull out, between 1968 and 1971, Tanzania sat for foreign Secondary School Examinations conducted jointly by the East African Syndicate, which before then were conducted by the Cambridge Local Examinations Syndicate alone.

The Examinations conducted by the Cambridge Local Examinations Syndicate then were the School Certificate and the Higher School Certificate Examinations. The School Certificate Examinations was taken by the African Students for the first time in 1947 and that of the Higher School Certificate in 1960.

Leadership List of NECTA since its Inception 21-11-1973

Chairmen
S/N Year Name
1. 1973 – 1977 P. Msekwa
2. 1977 – 1980 I. M. Kaduma
3. 1980 – 1988 N. A. Kuhanga
4. 1988 – 1992 G.R.V. Mmari (Prof)
5. 1992 – 1999 M.L Luhanga (Prof)
6. 1999 – 2004 G.R.V. Mmari (Prof)
7. 2004 – 2007 E. Mwaikambo (Prof)
8. 2007 – 2018 R.S. Mkandala (Prof)
9. 2018 – to date W.A.L. Anangisye (Prof)
Secretaries
S/N Year Name
1. 1973 – 1978 R. Kiyao
2. 1978 – 1986 D.J. Bagenda
3. 1986 – 1992 A. Modesti
4. 1994 – 1997 P.P. Gandye
5. 1998 – 2005 E.M. Nkumbi (Dr)
6. 2005 – 2014 J.L. Ndalichako (Dr)
7. 2014 – 2022 C.E. Msonde (Dr)
8. 2023 – to date S.A. Mohamed (Dr)

Matokeo kidato cha nne haya hapa, Matokeo ya kidato cha nne 2023/2024 date, Matokeo ya kidato cha nne 2023 necta form four dar es salaam, Matokeo ya kidato cha nne 2023 24 download, NECTA Form Four Results, Matokeo ya kidato cha nne 2024 zanzibar, Matokeo kidato cha nne 2024 necta results, Matokeo ya Kidato cha Nne 2023/2024 Download.

PIA UNAWEZA KUSOMAūüĎá

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel