MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Gift Fred atambulishwa Yanga SC

Filed in Michezo, New, Usajili by on 11/07/2023 0 Comments

Gift Fred atambulishwa Yanga SC

Gift Fred atambulishwa Yanga SC, Gift Fred Yanga, Gift Fred Giggy atua Yanga sc, Gift Fred Yanga SC, Gift Fred Young Africans, Gift Fred Young Africans Tanzania,Yanga yamsajili Gift Fred,Yanga yamsajili Kibabage kutoka SC Villa Uganda,Gift Fred SC Villa Uganda.

Gift Fred atambulishwa Yanga SC

Gift Fred atambulishwa Yanga SC, Klabu ya Yanga imemtambulisha beki, Gift Fred Giggy kutoka klabu ya SC Villa ya Uganda.

Fred ambaye ni beki Bora wa Ligi Kuu ya Uganda msimu uliopita wa 2022/2023, amejiunga na Young Africans kwa mkataba wa miaka mitatu kama Mchezaji huru.Gift Fred Giggy Yanga SC

Beki huyo mwenye umri wa miaka 24 mzaliwa wa Masindi nchini Uganda ni miongoni mwa wachezaji wanaotegemewa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Uganda (Uganda Crannes).

Gift Fred atambulishwa Yanga SC, Gift Fred Yanga, Gift Fred Giggy atua Yanga sc, Gift Fred Yanga SC, Gift Fred Young Africans, Gift Fred Young Africans Tanzania,Yanga yamsajili Gift Fred,Yanga yamsajili Kibabage kutoka SC Villa Uganda,Gift Fred SC Villa Uganda.Fred anakuwa Mchezaji mpya wa pili wa Yanga SC kuelekea msimu mpya wa 2023/2024 baada ya usajili wa kiungo mshambuliaji, Nickson Clement Kibabage kutoka klabu ya Singida Fountain Gate FC ya Singida.

Kibabage pia anamudu kucheza nafasi ya beki wa kushoto na winga, ambapo yeye alisaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Klabu hiyo yenye makazi yake Mtaa wa Jangwani Jijini Dar es salaam hadi 2025.

Gift Fred atambulishwa Yanga SC, Gift Fred Yanga, Gift Fred Giggy atua Yanga sc, Gift Fred Yanga SC, Gift Fred Young Africans, Gift Fred Young Africans Tanzania,Yanga yamsajili Gift Fred,Yanga yamsajili Gift Fred kutoka SC Villa Uganda,Gift Fred SC Villa Uganda.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags: , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel