MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

HESLB Stashahada TATU Afya na Sayansi Zaongezwa Mikopo ya Elimu January 2024

Filed in Makala, Ajira, Michezo by on 19/02/2024 0 Comments

HESLB Stashahada TATU Afya na Sayansi Zaongezwa Mikopo ya Elimu January 2024

HESLB Stashahada TATU Afya na Sayansi Zaongezwa Mikopo ya Elimu January 2024, HESLB Login continuous, SIPA HESLB login HESLB Login as Registered User, Fomu Ya Maombi Ya Mkopo HESLB, HESLB OLAMS HESLB login refund, HESLB login, HESLB loan statement, HESLB Login my account login password.

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwafahamisha wanafunzi wa stashahada (Diploma) katika fani za Afya na Sayansi Shirikishi (Health and Allied Sciences) kuwa Serikali imeongeza wigo wa wanafunzi wa stashahada wanaonufaika na mikopo ya elimu.

Fursa zilizoongezwa ni kwa wanafunzi wa stashahada tatu mpya ambazo ni Stashahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira (Ordinary Diploma in Environmental Health Sciences);

Stashahada ya Kumbukumbu ya Taarifa za Afya na Teknolojia (Ordinary Diploma in Health Records and Information Technology);

Na Stashahada ya Sayansi ya Maabara (Ordinary Diploma in Medical Laboratory Sciences’).

Hivyo, kuanzia Januari 2, 2024, wanafunzi wa stashahada hizi ambao wapo katika mwaka wa kwanza na wanaoendelea wanaweza kuomba mkopo wa elimu.

Aidha, wanafunzi wanaoomba mikopo ya Elimu, wanashauriwa kwa umuhimu mkubwa, kusoma ‘TOLEO LA PILI’ la ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada kwa mwaka 2023-2024’.

Mwongozo huu unapatikana katika www.heslb.go.tz au unaweza kudownload hapa MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO YA ELIMU KWA WANAFUNZI WA staSHAHADA TOLEO LA PILI 2023 – 2024

Mwongozo huu, pamoja na mambo mengine, unaeleza sifa na utaratibu wa kuwasilisha maombi ya mkopo kwa njia ya mtandao kupitia https://olas.heslb.go.tz

Imetolewa na:
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu,
Jengo la PSSSF, Barabara ya Makole,
S.L.P. 984,
DODOMA
Jumatano, Januari 3, 2024

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel