MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

HESLB Taarifa Mpya Kwa Wanafunzi wa Stashahada 2023/2024

Filed in Ajira, Michezo by on 21/12/2023 0 Comments

HESLB Taarifa Mpya Kwa Wanafunzi wa Stashahada 2023/2024

HESLB Taarifa Mpya Kwa Wanafunzi wa Stashahada 2023/2024, Heslb taarifa mpya kwa wanafunzi wa stashahada 2023 2024 results, Heslb taarifa mpya kwa wanafunzi wa stashahada 2023 2024 download, dirisha la mkopo 2023/2024, vigezo vya kupata mkopo ngazi ya diploma 2023/2024, HESLB login, Mwongozo wa Mkopo 2023/24,heslb news 2023/24, HESLB news today, Dirisha La Mkopo 2023 Kufunguliwa lini, Mwisho wa Kuomba Mkopo 2023, HESLB Login as Registered User, OLAMS HESLB Login account, Heslb taarifa mpya kwa wanafunzi wa stashahada 2023 2024 results, Heslb taarifa mpya kwa wanafunzi wa stashahada 2023 2024 download, dirisha la mkopo 2023/2024, vigezo vya kupata mkopo ngazi ya diploma 2023/2024, HESLB login, Mwongozo wa Mkopo 2023/24.

HESLB Taarifa Mpya Kwa Wanafunzi wa Stashahada 2023/2024

HESLB Taarifa Mpya Kwa Wanafunzi wa Stashahada 2023/2024,heslb news 2023/24, HESLB news today, Dirisha La Mkopo 2023 Kufunguliwa lini, Mwisho wa Kuomba Mkopo 2023, HESLB Login as Registered User, OLAMS HESLB Login account.

Kuna MAKUNDI MATATU ambayo HESLB imeyaletea Habari Mpya ifuatayo:

1.Kundi la Kwanza:

  • Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Stashahada za kipaumbele kama zilivyotajwa katika ‘TOLEO LA KWANZA’ la ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada kwa 2023-2024’.
  • Wanafunzi hawa, ambao awali hawakuweza kuomba kwa sababu mbalimbali ikiwemo kuchelewa hadi dirisha kufungwa, sasa wanaweza kuomba kwaajili ya mwaka wa masomo 2023-2024, wanashauriwa kusoma Mwongozo na kuuzingatia.

Kundi la Pili:

  • Wanafunzi wa mwaka wa pili au tatu wa Stashahada za kipaumbele kama zilivyotajwa katika TOLEO LA KWANZA la ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada kwa 2023-2024’.
  • Wanafunzi hawa, ambao awali hawakuweza kuomba mkopo, sasa serikali imeongeza fursa zaidi na wanaruhusiwa kuomba mkopo kwa njia ya Mtandao kwaajili ya mwaka wa Masomo 2023-2024, wanashauriwa kusoma Mwongozo na kuuzingatia.

3.Kundi la Tatu:

  • Litahusu Stashahada za kipaumbele ZITAKAZOONGEZWA siku chache zijazo kupitia TOLEO LA PILI’ la ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada kwa 2023- 2024’.
  • Wanafunzi wote wa Stashahada ambazo hazikutajwa katika TOLEA LA KWANZA’, WANASHAURIWA kusubiri kutangazwa
    kwa Stashahada mpya za kipaumbele zitakazotangazwa katika www.heslb.go.tz kabla ya Disemba 23, 2023.
HESLB Taarifa Mpya Kwa Wanafunzi wa Stashahada 2023/2024, Heslb taarifa mpya kwa wanafunzi wa stashahada 2023 2024 results, Heslb taarifa mpya kwa wanafunzi wa stashahada 2023 2024 download, dirisha la mkopo 2023/2024, vigezo vya kupata mkopo ngazi ya diploma 2023/2024, HESLB login, Mwongozo wa Mkopo 2023/24,heslb news 2023/24, HESLB news today, Dirisha La Mkopo 2023 Kufunguliwa lini, Mwisho wa Kuomba Mkopo 2023, HESLB Login as Registered User, OLAMS HESLB Login account, Heslb taarifa mpya kwa wanafunzi wa stashahada 2023 2024 results, Heslb taarifa mpya kwa wanafunzi wa stashahada 2023 2024 download, dirisha la mkopo 2023/2024, vigezo vya kupata mkopo ngazi ya diploma 2023/2024, HESLB login, Mwongozo wa Mkopo 2023/24.

HESLB Taarifa Mpya Kwa Wanafunzi wa Stashahada 2023/2024

KUMBUKA:

A.TOLEO LA KWANZA’ la ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada kwa 2023-2024’ linapatikana katika www.heslb.go.tz na www.nactvet.go.tz

B.Dirisha la kuomba mkopo kwa njia ya mtandao www.olas.heslb.go.tz litakuwa wazi kwa SIKU 14 kuanzia Alhamisi, Disemba 21, 2023 hadi Januari 4, 2024.

Heslb taarifa mpya kwa wanafunzi wa stashahada 2023 2024 results, Heslb taarifa mpya kwa wanafunzi wa stashahada 2023 2024 download, dirisha la mkopo 2023/2024, vigezo vya kupata mkopo ngazi ya diploma 2023/2024, HESLB login, Mwongozo wa Mkopo 2023/24.

HESLB Taarifa Mpya Kwa Wanafunzi wa Stashahada 20232024 Download PDF

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel