MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


HESLB Yatangaza Majina Ya Waliopata Mikopo ya Diploma 2023/2024

Filed in Makala by on 04/12/2023 0 Comments

HESLB Yatangaza Majina Ya Waliopata Mikopo ya Diploma 2023/2024

HESLB Yatangaza Majina Ya Waliopata Mikopo ya Diploma 2023/2024,HESLB mkopo kwa wanafunzi wa diploma 2023/2024, Majina Waliopata Mkopo PDF 2023/2024 | Loan Beneficiaries Names, HESLB Majina ya Waliopata Mkopo 2023/2024: Loan Allocation.HESLB Yatangaza Majina Ya Waliopata Mikopo ya Diploma 2023/2024,HESLB mkopo kwa wanafunzi wa diploma 2023/2024, Majina Waliopata Mkopo PDF 2023/2024 | Loan Beneficiaries Names, HESLB Majina ya Waliopata Mkopo 2023/2024: Loan Allocation.

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuujulisha Umma kuwa Upangaji wa Mikopo ya Stashahada (Diploma) kwa mara ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2023/2024 umekamilika na imetuma orodha ya wanafunzi waliodahiliwa katika vyuo 36 kwaajili ya kukamilisha taratibu za malipo (orodha ya vyuo imeambatishwa kwenye kurasa zinazofuata).

HESLB itaanza kupeleka fedha kwa wanafunzi waliopangiwa mikopo katika vyuo husika siku chache zijazo na wanafunzi walioomba mikopo katika ngazi ya stashahada wanashauriwa kupata taarifa za kina kupitia akaunti walizozitumia kuomba mkopo maarufu kama SIPA (Student’s Individual Permanent Account).

UTARATIBU WA MALIPO

Utaratibu wa malipo kwa wanafunzi wa Stashahada waliopangiwa mikopo unaendelea na Maafisa wa HESLB wameanza kwenda katika vyuo husika ili kushirikiana na uongozi wa vyuo hivyo kupokea taarifa muhimu za wanafunzi zikiwamo za Benki na namba za usajili vyuoni.

MIKOPO YA STASHAHADA 2023/2024

Mikopo ya ngazi ya Stashahada imetolewa kwa mara ya kwanza mwaka huu wa masomo 2023/2024 kwa wanafunzi waliodahiliwa katika fani sita za kipaumbele zifuatazo:

  • Health & Allied Sciences
  • Education and Teaching
  • Transport & Logistics
  • Energy Engineering
  • Mining & Earth Science
  • Agriculture & livestock

HITIMISHO

HESLB inawashauri wanafunzi ambao wana sifa na ambao hawakuomba mikopo ndani ya muda uliokuwa umetolewa awali (tarehe 07 Oktoba, 2023 hadi tarehe 30 Oktoba, 2023), wafike kwa uongozi wa vyuo walikodahiliwa au wapige simu 0736 665 533 au watume barua pepe [email protected] au watume ujumbe kwa WhatsApp 0739 665 533 ili kupata ufafanuzi.

HESLB MAJINA YA WALIOPATA MIKOPO YA DIPLOMA 20232024 DOWNLOAD PDF

Imetolewa na:
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Jumatano, Novemba 29, 2023

HESLB ANNOUNCES ‘DIPLOMA’ LOANS ALLOCATIONS FOR 2023/2024

1.0     INTRODUCTION

The Higher Education Students’ Loans Board (HESLB) would like to inform the public that the allocation of Diploma loans for the first time for the academic year 2023/2024 has been completed and list of admitted students sent to 36 colleges to complete payment procedures.

HESLB will start sending money to students allocated loans to respective colleges in the next few days; and qualified students who applied for loans at the diploma level are advised to get detailed information through the accounts they used to apply for loans known as SIPA (Student’s Individual Permanent Account).

2.0       PAYMENT PROCEDURES

The payment process for Diploma students allocated loans is on progress and HESLB Officers have started visiting respective colleges to collaborate with college managements to receive students’ important information including bank details and college registration numbers.

3.0 2023/2024 DIPLOMA LOANS

Diploma loans have been granted for the first time this academic year 2023/2024 to students admitted in the following six priority programmes:

i. ‘Health & Allied Sciences’;

ii. ‘Education and Teaching’;

iii. ‘Transport & Logistics’;

iv. ‘Energy Engineering’;

v. ‘Mining & Earth Science’ &

vi. ‘Agriculture & livestock

4.0       CONCLUSION

HESLB advises qualified students but did not apply for loans within the period that was previously provided (October 7, 2023 to October 30, 2023), to visit college administrations they are admitted to or call 0736 665 533 or send an email to [email protected] or send a message to WhatsApp 0739 665 533 for clarification.

Issued by:

Higher Education Students’ Loans Board

Wednesday, November 29, 2023

Majina ya waliopata Mkopo Batch 2, Majina ya waliopata Mkopo Mzumbe, Majina ya Waliopata Mkopo PDF, Download HESLB Batch 1z Majina Ya Waliopata Mkopo IFM, HESLB news today, majina ya waliopata mkopo 2023/24, majina ya waliopata mkopo 2023/2024 pdf, Majina Ya Waliopata Mkopo diploma 2023, HESLB login, Majina ya waliopata Mkopo UDOM heslb news 2023/24.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel