MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


IJUE Saratani ya Matiti

Filed in Makala, Michezo by on 27/02/2024 0 Comments

IJUE Saratani ya Matiti

IJUE Saratani ya Matiti,Madhara ya saratani ya matiti, Matibabu ya saratani ya matiti, Dalili za saratani ya matiti kwa wanawake, Dalili za saratani ya matiti kwa wanaume, Dalili za uvimbe kwenye ziwa.

IJUE Saratani ya Matiti

IJUE Saratani ya Matiti,Madhara ya saratani ya matiti, Matibabu ya saratani ya matiti, Dalili za saratani ya matiti kwa wanawake, Dalili za saratani ya matiti kwa wanaume, Dalili za uvimbe kwenye ziwa.

UCHUNGUZI WA SARATANI YA MATITI KWA AKINA MAMA

(BREAST CANCER)

SARATANI YA MATITI NI NINI?

Ni mabadiliko ya chembechembe hai zilizopo kwenye matiti saratani hii kwa kawaida haina dalili katika hatua za mwanzo. Wanawake katikahatua za mwanzo za ugonjwa hawana maumivu au dalili nyingine zozote.

Uchunguzi wa awali ndio utakao wezesha kuugundua ugonjwa katika hatua hii mabadiliko yaletwayo na saratani ya matiti.

 •  Kivimbe katika titi au kwenye makwapa.
 • Mabadiliko ya umbo na ukubwa wa titi.
 • Kutokwa na majimaji au damu katika chuchu ama chuchu kuingia ndani ya ziwa.
 • Mabadiliko katika rangi ya ngozi ya titi (kuonekana kama sehemu ya nje ya ganda la chungwa).

MAMBO YANAYOCHANGIA KUPATA SARATANI YA MATITI

 • Jinsi ya kike
 • Kuanza hedhi katika umri mdogo.
 • Kukoma siku katika umri mkubwa
 • Kutozaa kabisa.
 • Kutonyonyesha kabisa au kunyonyesha kwa muda mfupi.
 • Utumiaji mafuta mengi katika chakula.
 • Kutokufanya mazoezi ya mara kwa mara.
 • Unene kupita kiasi
 • Uvutaji sigara.
 • Utumiaji wa pombe kupita kiasi.
 • Historia ya saratani ya matiti katika familia.

IJUE Saratani ya Matiti,Madhara ya saratani ya matiti, Matibabu ya saratani ya matiti, Dalili za saratani ya matiti kwa wanawake, Dalili za saratani ya matiti kwa wanaume, Dalili za uvimbe kwenye ziwa.JINSI YAKUJILINDA NA SARATANI YA MATITI

 • Kujichunguza mwenyewe mara kwa mara kwa mara.
 • Uchunguzi wa kitabibu wa matiti kila mwaka.
 • Uchunguzi wa matiti kwa njia ya mashine ya mionzi (mara moja kwa mwaka kwa wenye miaka zaidi ya 40).
 • Wanawake wote wenye umri kuanzia miaka 21 wajichunguze matiti yao siku ya 5-7 baada ya kumaliza hedhi mbele ya kioo.

HATUA  5 RAHISI ZA KUJICHUNGUZA MATITI

 • Jiangalie katika kioo ukiwa umesimama wima na umeweka mikono kiunoni.
 • Angalia kama kuna mabadiliko katika umbo au rangi ya ngozi ya titi na kama

AU

 • Ukiwa umesimama au umelala chali tumia mkono pamoja na kipaji cha vidole vya mkono wa kulia kuchunguza titi la kushoto na mkono wa kushoto kuchunguza titi la kulia kwa njia ya mzunguko.
 • Kwa upole kamua chuchu ya kila titi na chunguza kama kuna ute ulio changanyika na damu.
 • Muone daktari kama kuna uvimbe au ute ulio changanyika na damu au hali yoyote ulioiona wakati wa kujichunguza.

Dawa ya matiti,Dawa ya uvimbe kwenye titi, Saratani ya ziwa, Maumivu ya ziwa la kushoto, Dalili za kansa ya kizazi kwa mwanamke, Uvimbe kwenye titi la kushoto,Matiti kuwasha ni dalili ya.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel