MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


ISIKILIZE Rumuli FM 98.5 Popote Duniani

Filed in Michezo, Makala by on 27/12/2023 0 Comments

ISIKILIZE Rumuli FM 98.5 Popote Duniani

ISIKILIZE Rumuli FM 98.5 Popote Duniani, Rumuli FM 98.5 Sasa inapatikana kwenye Nijuze Habari Blog, Rumuli FM 98.5 Bukoba,Rumuli FM 98.5,Redio Rumuli FM,Radio Rumuli FM,Radio Rumuli Bukoba,Rumuli fm news,Rumuli fm live.

ISIKILIZE Rumuli FM 98.5 Popote Duniani

ISIKILIZE Rumuli FM 98.5 Popote Duniani, Rumuli FM 98.5 Sasa inapatikana kwenye Nijuze Habari Blog, Rumuli FM 98.5 Bukoba,Rumuli FM 98.5,Redio Rumuli FM,Radio Rumuli FM,Radio Rumuli Bukoba,Rumuli fm news,Rumuli fm live.

ABOUT RADIO RUMULI FM 98.5 BUKOBA

RADIO RUMULI FM 98.5 BUKOBA ni redio ya Kikristo iliyopo Manispaa ya Bukoba, iliyosajiliwa nchini Tanzania na kupata Leseni yenye namba TCRA/CSRBFADL/23/2019 kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kuanza kurusha Matangazo yake yenye maudhui ya Kikristo, kutoka viunga vya Vilima vya Ihungo tangu mwanzoni mwa 2019.

Radio Rumuli inamilikiwa na Shirika la Kikristo liitwalo Nehemia Foundation na kusimamiwa na Rhema Outreach Ministries Church Bukoba.

Kauli Mbiu ya Redio Rumuli ni NURU ING’AAYO GIZANI, ikimaanisha uwepo wa Radio Rumuli unaashiria upitishaji wa neno la Mungu kuwa Nuru kwa watu wote.

ISIKILIZE Rumuli FM 98.5 Popote Duniani Bonyeza HAPA Kusikiliza

Kwa sababu hiyo Shuhuda zinazoshuhudiwa kupitia redio hii zinafanyika sehemu ya Kumtangaza Yesu Kristo kupitia neno lake kama Mwokozi.

Kwa sasa Redio hii inasikika katika maeneo yote ya mkoa wa Kagera, Wilaya za Kakonko, Kibondo na Kasulu Mkoani Kigoma pamoja na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Geita kupitia masafa ya 98.5.

Radio hii ambayo Makao Makuu yake yapo Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera Sasa inapatikana Online Duniani kote.

RATIBA KAMILI YA VIPINDI VYA RUMULI FM BUKOBA DOWNLOAD PDF.

Kwa Mawasiliano au Kutangaza Biashara yako na Redio Rumuli, wasiliana na Ofisi za Rumuli FM kwa Mawasiliano ya Simu namba +255768325841 Director, +255786116333 Manager, Broadcasting Room : +255786116333

Emails: [email protected],
[email protected] au
[email protected]

Our Address
Radio Rumuli FM
P.O.Box 1191
BUKOBA, TANZANIA

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel