MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Ivory Coast Mabingwa AFCON 2023/2024

Filed in Michezo by on 12/02/2024 0 Comments

Ivory Coast Mabingwa AFCON 2023/2024

Ivory Coast Mabingwa AFCON 2023/2024, Ivory Coast Bingwa AFCON 2023/2024,Ivory Coast Bingwa AFCON 2023.

Ivory Coast Mabingwa AFCON 2023/2024

Ivory Coast Mabingwa AFCON 2023/2024, Ivory Coast Bingwa AFCON 2023/2024,Ivory Coast Bingwa AFCON 2023, Matokeo Nigeria vs Ivory Coast, Ivory Coast vs Nigeria AFCON 2023, Nigeria vs Ivory Coast Results today, Nigeria vs Ivory Coast AFCON results, Nigeria vs Ivory Coast AFCON 2023/24.

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund ya Ujerumani, Sebastien Haller mwenye umri wa miaka 29 ndiye shujaa wa Ivory Coast tena wakitoka nyuma na kupata Ushindi Mabao 2-1 dhidi ya Nigeria katika Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2023.

Ivory Coast Mabingwa AFCON 2023/2024, Ivory Coast Bingwa AFCON 2023/2024,Ivory Coast Bingwa AFCON 2023.

Ivory Coast Mabingwa AFCON 2023/2024

Mshambuliaji huyo, ambaye pia alifunga bao la ushindi kwenye Nusu Fainali miezi 13 tu tangu arejee kutoka kwa saratani ya tezi dume, aliunganisha krosi ya Simon Adingra wa Brighton ya Uingereza zikiwa zimesalia dakika tisa kukamilisha mchezo huo katika kipindi cha pili.

William Troost-Ekong aliifungia Super Eagles bao la uongozi dakika 38, huku Franck Kessie akifunga bao la kusaiwazishia Ivory Coast katika dakika ya 62.

Ivory Coast Mabingwa AFCON 2023/2024, Ivory Coast Bingwa AFCON 2023/2024,Ivory Coast Bingwa AFCON 2023.

Ivory Coast Mabingwa AFCON 2023/2024

Wenyeji hao wa AFCON 2023 walipitia njia ngumu kuelekea Fainali hizi, ikiwa ni pamoja na Mabadiliko ya Kocha Mkuu aliyefutwa Kazi kufuatia kipigo Cha mabao 4-0 na Equatorial Guinea katika mechi yao ya mwisho ya hatua ya Makundi.

Ivory Coast ilimtimua Jean-Louis Gasset na nafasi yake kuchukuliwa na kiungo wa zamani Emerse Fae kabla ya kutinga hatua ya 16 bora.

Ivory Coast imekamilisha Makala ya 34 vizuri kwa kuibuka Mabingwa wa Afrika kwa mara ya tatu.

Kuhusu 2023 Africa Cup of Nations (AFCON 2023/2024)

Kombe la Mataifa ya Afrika 2023, linalojulikana kwa ufupi kama AFCON 2023 au CAN 2023 na kwa madhumuni ya udhamini kama Kombe la Mataifa ya Afrika la TotalEnergies 2023, lilikuwa toleo la 34 la Mashindano ya Soka Afrika yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF).

2023 Africa Cup of Nations
Coupe d’Afrique des Nations 2023

Official logo
Tournament details
Host country Ivory Coast
Dates 13 January – 11 February 2024
Teams 24
Venue(s) 6 (in 5 host cities)
Final positions
Champions  Ivory Coast (3rd title)
Runners-up  Nigeria
Third place  South Africa
Fourth place  DR Congo
Tournament statistics
Matches played 52
Goals scored 119 (2.29 per match)
Attendance 1,109,593 (21,338 per match)
Top scorer(s) Equatorial Guinea Emilio Nsue
(5 goals)
Best player(s) Nigeria William Troost-Ekong
Best young player Ivory Coast Simon Adingra
Best goalkeeper South Africa Ronwen Williams
Fair play award  South Africa

Iliandaliwa na Ivory Coast, ikifanyika nchini kwa mara ya pili kufuatia toleo la mwaka 1984.

Aidha Mashindano haya yalipangwa kufanyika wakati wa majira ya joto ya Ulimwengu wa Kaskazini tangu 2019, ili kupunguza migogoro na timu za vilabu vya Ulaya na Mashindano.

Hata hivyo, iliahirishwa na CAF hadi 13 Januari – 11 Februari 2024 kutokana na hali ya hewa ya majira ya joto nchini Ivory Coast, ingawa shindano hilo lilihifadhi jina la asili kwa madhumuni ya ufadhili.

Hii ilifuatia toleo la awali la 2021 nchini Cameroon pia kuhamishwa hadi msimu wa baridi wa Ulimwengu wa Kaskazini kwa sababu sawa na hizo, pamoja na kuahirishwa kwa sababu ya athari za janga la COVID-19 kwenye kalenda ya CAF.

Senegal walikuwa Mabingwa watetezi, lakini walitolewa katika hatua ya 16 Bora na wenyeji Ivory Coast.

Ivory Coast wametwaa kombe hilo, kwa kuwashinda Nigeria 2-1 katika mchezo wa Fainali ulifanyika ardhi ya nyumbani, likiwa ni taji la tatu.

Matokeo nigeria vs ivory coast results, Matokeo nigeria vs ivory coast prediction, Matokeo nigeria vs ivory coast live score, Matokeo nigeria vs ivory coast live, Matokeo nigeria vs ivory coast lineups, Matokeo nigeria vs ivory coast live stream, nigeria vs ivory coast live, nigeria vs ivory coast nigeria time, Matokeo Nigeria vs Ivory Coast Final AFCON 2023/2024.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel