MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Jentrix Shikangwa arejea Simba Queens 

Filed in Michezo, Usajili by on 11/01/2024 0 Comments

Jentrix Shikangwa arejea Simba Queens

Jentrix Shikangwa arejea Simba Queens

Jentrix Shikangwa arejea Simba Queens

Jentrix Shikangwa arejea Simba Queens, Mshambuliaji, Jentrix Shikangwa amerejea katika kikosi cha Simba Queens kutoka Beijing Jingtan ya China baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja.

Jentrix raia wa Kenya amerejea Simba Queens baada ya kupita miezi sita tu toka ajiunge na Jingtan Julai mwaka jana.

Wakati anaondoka Simba kuelekea China, Jentrix alikuwa Mfungaji bora Ligi Kuu ya Wanawake akifunga mabao 25.

Jentrix alijiunga na Simba Queens katika dirisha dogo la usajili lq Disemba mwaka 2022 na akacheza nusu msimu kabla ya kupata dili la China na sasa amerejea nyumbani.

Simba imesema kuwa inaamini uwezo wa Jentrix na kwa kusaidiana na wenzake aliowakuta utaifanya Timu hiyo ifanye vizuri na kurejesha Mataji iliyoyapoteza msimu uliopita.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel