MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Pili 2023/2024

Filed in Habari, Michezo, NECTA by on 11/01/2024 0 Comments

JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Pili 2023/2024

JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Pili 2023/2024, Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Kidato cha pili 2023, Matokeo ya Kidato cha Pili 2023/24, Matokeo kidato cha pili Secondary School, Matokeo ya kidato cha pili kimkoa, NECTA Matokeo ya form two 2023/2024 tanzania, Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Form Two, Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Form Two Tanzania.

Nijuze Habari imekuandalia Maelezo yanayoelezea Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato Cha Pili mwaka 2023 kwa sababu Matokeo ya Kidato Cha Pili/ Matokeo ya Form Two 2023/2024 yanatoka Jumapili ya tarehe 07/01/2024 Kuanzia saa 7:00 Mchana

NECTA ndiyo Mamlaka husika inayotoa matokeo haya Kwa kila mwaka mara yanapotoka, Matokeo haya ya Form Two/Matokeo Kidato Cha Pili yanapatikana kwenye tovuti rasmi ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).

Matokeo ya Kidato Cha Pili 2023 ni Matokeo ambayo mtu yeyote anaweza kuangalia Kupitia Link ya Matokeo iliyotolewa kwenye tovuti rasmi ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).

Wanafunzi pia Kuangalia Matokeo ya Kidato Cha Pili au Matokeo ya Form Two 2023 kupitia Link ya moja kwa moja kilichotolewa kwenye ukurasa huu.

Katika jitihada zetu za kukupatia taarifa zote za Matokeo ya NECTA nchini Tanzania tumekuandalia maelezo yanayoelezea jinsi ya kuangalia Matokeo ya mtihani wa kidato cha Pili kwa mwaka 2023.

JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Pili 2023/2024, Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Kidato cha pili 2023, Matokeo ya Kidato cha Pili 2023/24, Matokeo kidato cha pili Secondary School, Matokeo ya kidato cha pili kimkoa, NECTA Matokeo ya form two 2023/2024 tanzania, Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Form Two, Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Form Two Tanzania.

JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Pili 2023/2024

Matokeo ya Kidato cha Pili mwaka 2023 ni Matokea muhimu sana kwa Wanafunzi na Wazazi kwani yanaweza kuwasaidia Kupitia Ufaulu wa Wanafunzi hao kuangalia Maendeleo yao ya Kitaifa na Shule kwa Ujumla.

Hapa kuna Matokeo ya Kidato Cha Pili kwa 2022/2023 ambayo unaweza kuyaangalia kupitia link ya moja kwa moja iliyotolewa hapa Chini .

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2022/2023 TAZAMA HAPA 

Aidha Kuna njia chache tofauti ambazo unaweza kuangalia matokeo yako ya mtihani wa NECTA mwaka 2023/2024.

 • Njia ya kwanza ni kutembelea tovuti ya NECTA na kuangalia matokeo yako mtandaoni.
 • Unaweza Kuangalia Matokeo yako kwenye tovuti ya NECTA kwa kuchagua Matokeo ya Mtihani kwenye menyu ya NECTA.
 • Bofya Link ya Matokeo, Ukurasa wa Matokeo utafunguliwa
 • Bofya Link cha Matokeo ya kidato cha Pili kwa mwaka wako wa 2023.
 • Matokeo ya kidato cha Pili 2023 yataonyeshwa.
 • Tafuta shule yako, fuata link ya shule Kisha utafute nambari yako ya Mtihani.
 • Kutoka hapo, utaweza kuona alama zako kwa kila somo, pamoja na Daraja lako la jumla.

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linakaribia kutoa Matokeo Pili, Je? unataka kuwa wa kwanza kuona Matokeo yanapotoka?

Kama ni ndiyo basi Link zilizowekwa hapa chini zitakusaidia kuangalia Matokeo ya Kidato Cha Pili 2023/2024.

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2023/2024 TAZAMA HAPA

TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2023/ 2024

NECTA pia imetoa Matokeo ya  Darasa la Saba 2023/2024 unaweza Kuyaangalia kupitia Link hii, NECTA: Matokeo ya Darasa La Saba 2023/2024

Pia NECTA inatoa Matokeo ya Darasa la Nne 2023/2024 unaweza Kuyaangalia kupitia link hii, MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024

Pia unaweza Kuangalia Matokeo ya Kidato Cha Nne Kulipia Link hii, MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024

Na unaweza Kuangalia Matokeo ya Darasa la Saba 2023/2024 Zanzibar Kupitia Link hii, MATOKEO ya Darasa la Saba Zanzibar 2023/2024

Matokeo ya Darasa la Nne 2023/2024 Zanzibar unaweza Kuyaangalia kupitia link hii, MATOKEO Darasa la Nne Zanzibar 2023/2024

Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato Cha Pili 2023/2024 Kwa SMS

 • Piga *152*00#
 • Chagua namba 8.ELIMU
 • Chagua namba 2.NECTA
 • Chagua aina ya huduma 1.MATOKEO
 • Chagua aina ya Mtihani 2.ACSEE
 • Andika namba ya Mtihani na Mwaka Mfano:S0334-0556-2019
 • Chagua aina ya Malipo (Gharama kwa kila SMS ni Tshs 100/=)

Baada ya kukamilisha malipo utapokea ujumbe Mfupi wa Matokeo

FTNA Results

Matokeo ya Kidato cha pili Zanzibar, Matokeo ya kidato cha pili kimkoa, Matokeo ya kidato cha pili mkoa Wa Songwe, Matokeo ya kidato cha pili Morogoro, Matokeo ya kidato cha pili mkoa wa Pwani, Matokeo kidato cha pili Secondary School, Matokeo ya kidato cha pili mkoa wa Mbeya, NECTA Matokeo ya kidato cha pili 2023, Matokeo ya kidato cha pili mkoa wa Kagera, Matokeo ya kidato cha pili mkoa wa Iringa, Matokeo ya kidato cha pili mkoa wa Njombe.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel