MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


JINSI ya Kulipia Mfalme Shangwe Simba 2023

Filed in Michezo by on 19/12/2023 0 Comments

JINSI ya Kulipia Mfalme Shangwe Simba 2023

JINSI ya Kulipia Mfalme Shangwe Simba 2023, Jinsi ya kushiriki Mchezo wa Mfalme Shangwe Katimba Simba SC 2023,Mfalme shangwe Katimba 2023,Jinsi ya kulipia Mfalme shangwe katimba simba 2023.

JINSI ya Kulipia Mfalme Shangwe Simba 2023

JINSI ya Kulipia Mfalme Shangwe Simba 2023, Jinsi ya kushiriki Mchezo wa Mfalme Shangwe Katimba Simba SC 2023,Mfalme shangwe Katimba 2023,Jinsi ya kulipia Mfalme shangwe katimba simba 2023.

Kuelekea Shamrashamra za kufunga mwaka 2023 na kuukaribisha mwaka 2024, klabu ya Simba imezindua Shindano la MFALME SHANGWE maalum kwaajili ya Mashabiki wake kujipatia Fedha kupitia Shindano maalum.

Baada ya SHABIKI BINGWA kupata mafanikio makubwa, sasa MFALME SHANGWE ni Baba lao!

Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula amesema kuwa shindano la MFALME SHANGWE litakuwa na zaidi zenye thamani ya Tsh Milioni 500.

Kajula amewashukuru Wanachama na Mashabiki wa Simba kuendelea kuiunga mkono timu yao huku akiwataka kuendelea kununua bidhaa za klabu ili kuiwezesha timu yao kiuchumi.

JINSI ya Kulipia Mfalme Shangwe Simba 2023, Jinsi ya kushiriki Mchezo wa Mfalme Shangwe Katimba Simba SC 2023,Mfalme shangwe Katimba 2023,Jinsi ya kulipia Mfalme shangwe katimba simba 2023.

JINSI ya Kulipia Mfalme Shangwe Simba 2023

“Klabu ya Simba inaendelea kuwashukuru mashabiki kwa kuunga mkono timu yenu na mnaona inaendelea kuimarika, na leo hii tumekuja na kitu cha zaida kurudi kwa mashabiki wetu”

“Moja ya wajibu mkubwa wa shabiki wa Simba ni kuisaidia timu yao kwa kununua bidhaa za klabu. Unaponunua bidhaa ya klabu unaisaidia klabu kujijenga kwenye mifumo yake ya kifedha”

“Ni wazi kwamba uendeshaji wa vilabu ni gharama sana. Ili tuwe na benchi bora, wachezaji wazuri, walipwe mishahara, wakae vizuri, walipwe posho, wasafiri. Ndio maana katika klabu yenu bajeti kwa mwaka ni Tsh. 24 Bilioni”

“Mwaka huu tulianza na Shabiki Bingwa ambapo mashabiki wanashinda fedha taslimu, safari, tiketi za mechi na wakati hii kuelekea sherehe za mwisho wa mwaka tumekuja na MFALME SHANGWE. Mfalme ni Simba, shangwe ni kuelekea mwisho wa mwaka. Tumekuja na shindano ambalo lina jumla ya zawadi zisizopungua Tsh. 500 milioni na kushinda zawadi ya tiketi za mechi”

“Simba inaamini kwenye mashabiki wake kuwa na faida, kama atakuwa ni shabiki ambaye anaeleza mambo ambayo anataka lakini hashiriki kuisaidia timu basi ni ushabiki usio na faida. Kwa mashabiki wa faida basi MFALME SHANGWE ni jambo la kushiriki”

“Eneo moja wapo ambalo litafaidika na mapato ambayo yatapatikana kupitia MFALME SHANGWE ni eneo la timu ya vijana. Mwaka huu tulitafuta vijana bora sana nchini. Mfano tuna vijana 15 katika timu ya vijana ya Zanzibar ambayo ilishinda ubingwa wa CECAFA. MFALME SHANGWE inaunganishwa na maendeleo ya timu kwa ushabiki wenye faida”

“Tunawakaribisha Wanasimba na mashabiki wa soka Tanzania kushiriki MFALME BINGWA. Tunaamini tutaendelea kujitahidi ili Simba iwe sehemu ya furaha yenu kuelekea mwisho wa mwaka huu,” alisema Kajula

Jinsi ya kulipia kupitia M-Pesa, Tigo Pesa $ Airtel Money

  • Chagua Lipa Bili
  • Namba ya Kampuni ni ‘909192’
  • Kumbukumbu namba neno SIMBA.
  • Neno la Siri
  • Thibitisha Malipo
  • Kiasi ni 1,000 au Zaidi.

Simba Sports Club Shabiki Bingwa 2023

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel