MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


JINSI ya Kuomba Pasipoti ya Kusafiria Online

Filed in Makala by on 30/12/2023 0 Comments

JINSI ya Kuomba Pasipoti ya Kusafiria Online

JINSI ya Kuomba Pasipoti ya Kusafiria Online, Maombi ya Passport online, Fomu ya maombi ya passport, Maombi ya passport mpya Tanzania, Bei ya passport Tanzania 2023, Jinsi ya kuangalia Passport, Maombi ya passport ya dharura, Tanzania passport application form PDF.

JINSI ya Kuomba Pasipoti ya Kusafiria Online

JINSI ya Kuomba Pasipoti ya Kusafiria Online, Maombi ya Passport online, Fomu ya maombi ya passport, Maombi ya passport mpya Tanzania, Bei ya passport Tanzania 2023, Jinsi ya kuangalia Passport, Maombi ya passport ya dharura, Tanzania passport application form PDF.

Pasipoti na Taarifa za Hati za Kusafiri
Pasipoti ni moja ya hati nyeti sana zinazotolewa na serikali kwa raia wake ili kuwaruhusu kusafiri nje ya nchi kwa madhumuni mbalimbali.

Serikali ya Tanzania inatoa aina mbalimbali za hati za kusafiria na hati nyingine za kusafiria kama inavyoelezwa na Pasipoti za Tanzania na Hati nyingine za Kusafiria Sura ya 42 ya mwaka 2002 na Kanuni zake za mwaka 2004.

Kurasa za pasipoti za pasipoti ya sasa ya kielektroniki ina picha na michoro mbalimbali ambayo inaelezea historia ya nchi na vivutio vya utalii.

NB: Bila kujumuisha hati ya kusafiria ya Mkataba wa Geneva na Cheti cha Utambulisho, aina nyingine zote za pasi zikiwemo Hati za Safari za Dharura zinaweza kutumika mtandaoni kupitia Link hapo chini:

Baada ya kukamilisha kujaza fomu kwa njia ya mtandao na kufanya malipo, mwombaji anatakiwa kuchapisha na kuwasilisha fomu pamoja na viambatisho vinavyohitajika katika Ofisi ya Uhamiaji ya Mkoa, Makao Makuu ya Uhamiaji, Ofisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar kwa kadri itakavyokuwa au kwa Mtanzania husika. Ubalozi Ikiwa mwombaji yuko nje ya nchi.

MAHITAJI YA JUMLA KWA MAOMBI YA PASIPOTI

Maombi ya pasipoti yataambatanishwa na yafuatayo:

 • Cheti cha Kuzaliwa au Hati ya Kiapo cha Kuzaliwa au Cheti cha Uraia cha mwombaji (Ikiwa mwombaji ni raia kwa uraia).
 • Cheti cha kuzaliwa au Hati ya Kiapo ya Kuzaliwa au Cheti cha Uraia cha mzazi au wazazi wa mwombaji.
 • Kitambulisho cha Taifa, picha 1 ya ukubwa wa pasipoti (itapakiwa mtandaoni)
 • Ada ya 150,000 kwa pasipoti na 20,000 kwa hati ya Kusafiri ya Dharura.
 • Iwapo mwombaji yuko chini ya umri wa miaka 18, mzazi au mlezi wa kisheria lazima aambatana na mwombaji na kuwasilisha kibali cha maandishi kuhusu safari ya mwombaji nje ya nchi.
JINSI ya Kuomba Pasipoti ya Kusafiria Online, Maombi ya Passport online, Fomu ya maombi ya passport, Maombi ya passport mpya Tanzania, Bei ya passport Tanzania 2023, Jinsi ya kuangalia Passport, Maombi ya passport ya dharura, Tanzania passport application form PDF.

JINSI ya Kuomba Pasipoti ya Kusafiria Online

Kuomba Pasipoti ya kusafiria Online hii ni huduma mpya inayomuwezesha muombaji kujaza Fomu ya Maombi ya Pasipoti kwa njia ya Kielektroniki akiwa mahali popote.

Baada ya kujaza fomu hiyo, atatakiwa kuiprint na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vingine katika Ofisi ya Uhamiaji iliyo karibu naye kwaajili ya kushughulikiwa maombi yake ya Pasipoti.

MUONGOZO WA MAOMBI YA PASIPOTI

Jinsi ya kuomba Pasipoti ya kusafiria Online, Jinsi ya kuangalia passport,Maombi ya passport ya dharura,Maombi ya Passport online,Maombi ya passport tanzania,Maombi ya passport mpya Tanzania,Tanzania Passport application form PDF,www.immigration.go.tz application form,www.immigration.go.tz online application,Bei ya passport Tanzania,www.immigration.go.tz online application,Passport online application Tanzania,Uhamiaji Tanzania passport,New Tanzania passport,Immigration Tanzania,www.immigration.go.tz e-services.

Jinsi ya kuomba Pasipoti ya kusafiria Online

 1. Cheti cha Kuzaliwa Mwombaji
 2. Cheti/Kiapo cha Kuzaliwa Mzazi wa Mwombaji
 3. Kitambulisho cha Taifa
 4. Picha ya Mwombaji ya hivi karibuni yenye kivuli cha rangi ya buluu isiyokoza (Light blue Background)
 5. Ada ya Fomu Tsh 20,000
 6. Ushahidi wa Safari au Ushahidi wa Shughuli anayofanya Mwombaji.
 1. Bofya Anza kujaza fomu, kwa Ombi Jipya
 2. Bofya ENDELEA ili kuendelea na Ombi ambalo halikufikia mwisho
  Utahitajika Kujaza Namba ya Utambulisho (Rfeference ID) wa Ombi lako na Namba ya Ombi (Application Number) husika
 3. Jaza Taarifa zako sahihi kwa ukamilifu
 4. Hifadhi Namba yako ya Utambulisho (Application ID) kwa matumizi ya baadaye.
 5. Jaza Taarifa za Pasipoti ya zamani (ikiwa uliwahi kuwa na pasipoti)
 6. Jaza Taarifa za Wadhamini na Watu ambao ungependa wapewe taarifa endapo utatakewa na tatizo lolote
 7. Ambatanisha Vielelezo vyote vinavyohitajika (kwa kuzingatia maelekezo)
 8. Hakiki Taarifa zako zote na kisha bofya kukubaliana nazo ikiwa ziko sahihi
 9. Lipia fomu yako baada ya kupatiwa Namba ya Kumbukumbu ya Malipo (Control Number)

Kitufe cha Kufuatilia Hali (Status) ya Ombi kinakuwezesha kufuatilia Ombi lako limefikia hatua gani

OMBI JIPYA

Kwa Mwombaji anayeanza kujaza fomu ya maombi ya Pasipoti kwa njia ya kielektroniki kwa mara ya kwanza (hata kama alishawahi kuwa na pasipoti bofya HAPA kuomba Pasipoti).

Wakati wa ujazaji wa fomu ya maombi ya pasipoti, Mwombaji anatakiwa kujaza taarifa zake kwa usahihi na ukamilifu, na mara atakapomilisha atapatiwa Namba ya Ombi (Application Number) na Namba ya Utambulisho (Reference ID) ya Ombi lake.

ENDELEZA OMBI

Kwa Mwombaji ambaye alishajaza fomu ya maombi ya pasipoti kwa njia ya kielktroniki na kufikia hatua ya kupatiwa Namba ya Ombi.

Hatua hii itampa fursa ya kurekebisha taarifa zake au Kupakua na kuichapisha fomu yake. Ni hatua muhimu katika kuendeleza ombi la Mteja ambalo halikufikia hatua ya mwisho, bofya HAPA kuendeleza ombi  la kuomba Pasipoti.

UFUATILIAJI WA OMBI

Kwa Mwombaji ambaye alishajaza fomu ya maombi ya pasipoti kwa njia ya kielktroniki na kufikia hatua ya kupatiwa Namba ya Ombi.

Hatua hii itampa fursa ya kurekebisha taarifa zake au Kupakua na kuichapisha fomu yake. Ni hatua muhimu katika kuendeleza ombi la Mteja ambalo halikufikia hatua ya mwisho, bofya HAPA kungalia ombi lako la Pasipoti.

MAOMBI YA HATI ZA USAFIRI WA DHARURA

Hii ni huduma mpya inayomuwezesha muombaji kujaza Fomu ya Maombi ya Hati ya Dharura kwa njia ya Kielektroniki kutokea popote alipo, Baada ya kujaza fomu hiyo mtandaoni na kuambatisha picha yake kama atakavyoelekezwa mtandaoni, atatakiwa kuichapisha (Print) fomu hiyo na kufika nayo katika Ofisi ya Uhamiaji iliyo karibu naye kwa ajili ya kushughulikiwa maombi yake ya Hati ya Dharura.

Huduma hii itamwondolea usumbufu wa kwenda ofisini kuchukua fomu ya maombi ya pasipoti, na badala yake ataipata na kuijaza fomu hiyo mtandaoni.

Aidha, itasiaidia katika kuimarisha utunzaji wa kumbukumbu na baadae kumwezesha mteja kufuatilia hatua lilipofikia ombi lake kwa njia ya mtandao.www.immigration.go.tz e-services, www.immigration.go.tz e-services emergency travel document, Online Passport application form Tanzania, www.immigration.go.tz application form, www.immigration.go.tz online application.

Maombi mapya ya hati za Usafiri wa Dharura Bofya HAPA, Muombaji anayeendelea bofya HAPA, Ufuatiliaji Ombi la hati za Usafiri wa Dharura bofya HAPA

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel