MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Kikosi cha Simba SC msimu wa 2021/2022.

Filed in Michezo by on 28/08/2021 0 Comments

KLABU ya Simba SC, imekamilisha usajili wa wachezaji itakaowatumia kwa msimu wa 2021/2022, na katika orodha ya wachezaji hao bado wachezaji wawili ambao hawajatangazwa na Klabu hiyo.

Wachezaji hao wawili Jeremiah Kisubi na Denia Kibu Dennis, ishu ya wachezaji kuzidi 30 kinda wa Klabu hiyo Jimmyson Mwanuke usajili wake utasoma kuwa amesajiliwa Simba U20 ila atacheza timu ya wakubwa ya Klabu hiyo.

Wachezaji hao ni;

Magolikipa
1:Aishi Manula
2:Beno Kakolanya
3:Ally Salim
4:Jeremiah Kisubi

Mabeki
5:Shomary Kapombe
6:Israel Patrick Mwenda
7:Mohamed Hussein
8:Gadiel Michael
9:Joash Onyango
10:Pascal Wawa
11:Kennedy Juma
12:Erasto Nyoni
13:Hennock Inonga Varane

Viungo
14:Thaddeo Lwanga
15’Jonas Mkude
16:Mzamiru Yassin
17:Rally Bwalya
18:Hassan Dilunga
19’Sadio Kanoute
20:Abdulsamad Kassim

Mawinga
21:Benard Morrison
22:Peter Banda
23:Duncan Nyoni
24-Pape Sakho
25:Jimmyson Mwanuke
26:Yusuph Mhilu

Washambuliaji
27:John Bocco
28:Meddie Kagere
29:Chris Mugalu
30:Ibrahim Ajibu
31:Kibu Dennis

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel