MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Kikosi cha Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia vs Congo & Madagascar

Filed in Michezo by on 01/11/2021 0 Comments

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Kim Poulsen ametaja kikosi kitakachoingia kambini, kwaajili ya michezo miwili ya mwisho ya Kundi J ya kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia.

Taifa Stars itacheza dhidi ya DR Congo jijini Dar es salaam November 11, kisha itasafiri hadi Antananarivo kupambana na kikosi cha Madagascar katika mchezo wa mwisho wa Kundi J utakaochezwa Novemba 14.

Tanzania Inaongoza msimamo wa kundi J kwa kufikisha alama saba sawa na Benin, huku DR Congo ikiwa na alama tano zinazoiweka nafasi ya tatu na Madagascar inashika mkia wa kundi hilo kwa kuwa na alama tatu.

Soma: Matokeo ya Darasa la Saba 2021

Soma: Matokeo Yanga SC vs Azam FC, October 30,2021

Soma: Wanafunzi waliofutiwa Matokeo ya Darasa la Saba 2021

Soma: Wanafunzi 10 Bora Matokeo ya Darasa la Saba 2021

Soma: Shule 10 Bora Matokeo ya Darasa la Saba 2021

Soma: Matokeo Simba SC vs Coastal Union FC, October 31,2021

Soma: Magazeti ya Jumatatu November 01,2021

Walinda Lango
1:Aishi Manula (Simba SC)
2: Metacha Mnata (Polisi Tanzania FC)
3: Ramadhan Kabwili (Young Africans SC)

Walinzi
4: Shomari Kapombe (Simba SC)
5: Kibwana Shomari (Young Africans SC)
6: Israel Mwenda (Simba SC)
7: Mohamed Hussein (Simba SC)
8: Erasto Nyoni (Simba SC)
9: Dickson Job (Young Africans SC)
10: Bakari Mwamnyeto (Young Africans SC)
11: Kennedy Juma (Simba SC)
12: Lusajo Mwaikenda (Azam FC)
13: Edward Manyama (Azam FC)

Viungo
14: Nickson Kibabage (KMC FC)
15: Meshack Mwamita (Kagera Sugar FC)
16: Novatus Dismas (Maccabi Tel Aviv – Israel)
17: Mzamiru Yassin (Simba SC)
18: Ramadhan Chombo (Biashara United FC)
19: Zawadi Mauya (Young Africans SC)
20: Feisal Salum (Young Africans SC)

Washambuliaji
21:John Bocco (Simba SC)
22: Idd Seleman (Azam FC)
23:Abdul Hamis Suleiman (Coastal Union FC)
24: Mbwana Samatta (Royal Antwerp FC – Belgium)
25: Kibu Denis (Simba SC)
26: Relliant Lusajo (Namungo FC)
27: Simon Msuva (Wydad Athletic – Morocco)

Tags: , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel