MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Kikosi Cha Tanzania vs Benin (Kufuzu Kombe la Dunia)

Filed in Michezo by on 27/09/2021 0 Comments

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Kim Poulsen ameweka wazi kikosi cha timu hiyo kwaajili ya mchezo wa mzunguuko wa tatu wa kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2022.

Tanzania itacheza mchezo huo wa kundi J October 07, 2021 ugenini mjini Cotonou kwenye uwanja wa Taifa wa Stade de l’Amitié, huku ikiwa na kumbukumbu ya kutoa sare ya bao 1-1 dhidi ya DR Congo kisha kuichapa Madagascar mabao 3-2.

Mpaka sasa Tanzania inaongoza msimamo wa kundi J ikiwa na alama 4 sawa na Benin inayoshika nafasi ya pili, lakini timu hizo zimetofautiana mabao ya kufunga na kufungwa.

Nafasi ya tatu inashikwa na DR Congo yenye alama 2 huku Madabascar ikiburuza mkia baada ya kupoteza michezo yake dhidi ya Benin na Tanzania.

1:Aishi Manula (Simba SC)
2: Metacha Mnata (Polisi Tanzania FC)
3:Wilbol Maseke (Azam FC)
4: Ramadhan Kabwili (Young Africans SC)
5: Shomari Kapombe (Simba SC)
6: Israel Mwenda (Simba SC)
7: Erasto Nyoni (Simba SC)
8: Dickson Job (Young Africans SC)
9: Bakari Mwamnyeto (Young Africans SC)
10: Kennedy Juma (Simba SC)
11: Lusajo Mwaikenda (Azam FC)
12: Mohamed Hussein (Simba SC)
13: Edward Manyama (Azam FC)
14: Nickson Kibabage (KMC FC)
15: Meshack Mwamita (Gwambina FC)
16: Novatus Dismas (Maccabi Tel Aviv – Israel)
17: Mzamiru Yassin (Simba SC)
18:Jonas Mkude (Simba SC)
19: Feisal Salum (Young Africans SC)
20:John Bocco (Simba SC)
21:Idd Seleman (Azam FC)
22:Abdul Hamis Suleiman (Coast Union FC)
23:Mbwana Samatta (Royal Antwerp FC – Belgium)
24: Relliant Lusajo (Namungo FC)
25:Simon Msuva (Wydad Athletic Club – Morocco)

Tags: , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel