MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


MAGAZETI ya Leo Alhamisi January 18-2024

Filed in Magazeti, Michezo by on 18/01/2024 0 Comments

MAGAZETI ya Leo Alhamisi January 18-2024

MAGAZETI ya Leo Alhamisi January 18-2024, Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi 18-01-2024, Vichwa vya habari Katika Magazeti ya Leo Alhamisi January 18.2024, Magazetini Leo tarehe 18.01.2024, Magazeti ya Tanzania leo tarehe 18 Januari 2024, Magazeti ya leo tarehe 18.1.2024 asubuhi, Magazeti ya Tanzania leo January 18.2023, Magazeti ya Michezo ya Leo Alhamisi tarehe 18.01.2024, Magazeti ya Michezo leo tarehe 18.1.2024,Simba yafunga usajili na Edwin Balua, Yanga yaajiri wanne,Stars yachapwa 3-0 na Morocco, AFCON 2023, Kuchwa Kwa Baleke na Phiri kwastua, Stars yalazwa 3-0 na Morocco AFCON 2023, Thabita Kidawawa CEO mpya Singida, Taifa Stars yaanza na Kichapo AFCON 2023, Simba yampa miaka mitatu Edwin Balua, Benchikha awatega Mastaa wapya Simba, Sarr yupo tayari Kwa Vita Simba, Yanga Sasa nje Mtiti ndani Mtiti, Makocha Yanga wahofia mtu kupigwa nyingi, Moloko aondoka na Faili la Ligi Kuu Bara moyoni, Simba mpya baada ya kuacha Sita, Singida FG yafunguka chanzo Cha kuuza Wachezaji.

MAGAZETI ya Leo Alhamisi January 18-2024

MAGAZETI ya Leo Alhamisi January 18-2024, Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi 18-01-2024, Vichwa vya habari Katika Magazeti ya Leo Alhamisi January 18.2024, Magazetini Leo tarehe 18.01.2024, Magazeti ya Tanzania leo tarehe 18 Januari 2024, Magazeti ya leo tarehe 18.1.2024 asubuhi, Magazeti ya Tanzania leo January 18.2023, Magazeti ya Michezo ya Leo Alhamisi tarehe 18.01.2024, Magazeti ya Michezo leo tarehe 18.1.2024.

Haya hapa Magazeti ya Tanzania leo January 18.2024, Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 18.2024, Magazeti ya Michezo leo Alhamisi, Newspaper front pages for the 18th of January 2024, Magazetini Leo asubuhi, Habari za Magazeti Leo Alhamisi tarehe 18 January 2024.

MAGAZETI ya Leo Alhamisi January 18-2024


Gazeti (kupitia Kiingereza kutoka Kiitalia gazzetta) ni karatasi zilizochapishwa habari na kutolewa mara kwa mara ama kila siku au kila wiki; kuna pia magazeti yanayotolewa mara moja au mbili kwa mwezi tu.

Magazeti yakiwa dukani

Magazeti yakiwa dukani

Mara nyingi gazeti huwa na habari za siasa, uchumi, utamaduni, michezo pamoja na hali ya hewa na programu za TV na burudani mbalimbali kama vibonzo, hadithi an vitendawili.

Sehemu nyingine muhimu ni matangazo ya biashara ambako kampuni au watu hununua nafasi gazetini na kutangaza biashara, mikutano na mengineyo.

Pamoja na vyombo vingine vya habari kama TV, redio au blogu, magazeti yanastahili uhuru wa maoni. Lakini katika nchi nyingi serikali zinajaribu kuzuia habari zisizopendezwa nazo. Kwa sababu hii Tangazo kilimwengu la haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa linatetea uhuru wa magazeti.

Pia kwa nchi ya Tanzania na nyinginezo vyombo vya habari vinahitaji uhuru wa kusikilizwa kwa kuunda misingi iliyo kamili katika kutetea haki zao ndipo wataweza kusikilizwa zaidi.

Magazeti yakiwa dukani

Magazeti yakiwa dukani

Chombo cha habari ni muhimu sana kwa jamii zetu za Kiafrika kwa vyombo hivi pia ndipo elimu mbalimbali hutolewa kwao. Hata hivyo magazeti yamekuwa pia chanzo kikubwa sana cha vijana kuchafuana majina na kuzushiana taarifa zisizokuwa rasmi kwa jamii, hasa pale ambapo wanakoseana heshima na kudharauliana.

Jambo hili ni baya sana kwa taifa na kwa jamii kwa ujumla, kwani kukosekana kwa maadili yaliyo muhimu kwa jamii ni chanzo kikubwa cha kuonekana kuwa magazeti hayana faida kwa kizazi cha baadaye, japo magazeti ni kitu muhimu sana kwa dunia ya leo, iwe ya mtandaoni au ya kuchapishwa kwenye karatasi.

Magazeti huuzwa madukani au na wauzaji barabarani. Katika nchi nyingi kuna pia mashine zinazotoa gazeti baada ya kuingiza sarafu. Mengine huagizwa na wasomaji na kupelekwa kwao nyumbani, kwa mfano kwa njia ya posta.

Kuna pia magazeti yanayotolewa bure; gharama zao zinalipiwa na matangazo pekee.

Katika mazingira ya kisasa magazeti yanapatikana pia kwa njia ya mtandao yakionekana kwenye tarakilishi. Njia hii mara nyingi ni bure vilevile, ila kuna baadhi za magazeti yanayoweka sehemu ya makala tu mtandaoni kwa watu wote, lakini makala mengine yanaonekana kwa wasomaji waliowahi kulipa ada na kuwa na neno la siri linalowaruhusu kutazama kurasa zote.

Magazeti ya Japani huwa na wasomaji wengi kuna tatu za kila siku zinazotolewa kwa nakala kati ya milioni 5 hadi 14 kila siku. Gazeti kubwa la Ujerumani “Bild” hutoa nakala milioni 3.8 kwa siku, gazeti kubwa la Marekani “America Today” milioni mbili. Gazeti kubwa la Afrika ya Mashariki ni Daily Nation wa Kenya yenye nakala 200,000 kila siku. Upande wa Tanzania ni gazeti “Mwananchi”

Nchi nyingi huwa na magazeti kadhaa yanayouzwa kote taifani. Kuna machache yanayoandaliwa kwa solo la kimataifa hasa, kwa mfano International Herald Tribune.

Lakini kuna pia magazeti mengi yanayokusanya habari za eneo au mji fulani hasa. Mifano yake katika Afrika ya Mashariki ni Arusha Times au Coastweek ya Mombasa. Katika nchi kama Marekani au Ujerumani sehemu kubwa ya magazeti ni ya eneo au miji fulani hasa.

Magazeti huwa tena na matumizi baada ya kusomwa hasa kwa kufunga vitu sokoni au kurudishwa kiwandani kwa kutengeneza karatasi mpya.

Tags: , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel