MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumamosi 30 December 2023

Filed in Magazeti, Michezo by on 30/12/2023 0 Comments

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumamosi 30 December 2023

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumamosi 30 December 2023, Magazetini Tanzania Leo tarehe 30.12.2023, Magazeti ya Tanzania leo tarehe 30 December 2023, Magazeti ya leo tarehe 30/12/2023 asubuhi, Magazeti ya Tanzania leo, Magazeti ya Michezo ya Leo Jumamosi tarehe 30.12.2023, Magazeti ya Michezo leo tarehe 30.12.2023, Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo December 30.2023, Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 30.2023,Magazeti ya Michezo leo Jumamosi, Newspaper front pages for the 30th of December 2023, Magazetini Leo asubuhi, Habari za Magazeti Leo Jumamosi tarehe 30 Disemba 2023, Okrah amawaga wino Yanga, Okrah ni Mwananchi apewa miwili, Chama na Phiri waigawa Simba, Benchikha ataka watano Dirisha Dogo la usajili, Okrah Magic atuma salamu nzito Simba, Yanga yataja sababu za Kumsajili Augustine Okrah, Azam FC yasajili Mcolombia,Majembe 3 mapya Simba haya hapa, yupo Straika wa Mabao, yupo Winga w Chenga za maudhi, Yanga yamficha winga mpya mghana, Bosi Simba atapamba hivi ni nyuma kweli kweli.

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumamosi 30 December 2023

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumamosi 30 December 2023, Magazetini Tanzania Leo tarehe 30.12.2023, Magazeti ya Tanzania leo tarehe 30 December 2023, Magazeti ya leo tarehe 30/12/2023 asubuhi, Magazeti ya Tanzania leo, Magazeti ya Michezo ya Leo Jumamosi tarehe 30.12.2023, Magazeti ya Michezo leo tarehe 30.12.2023.

Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo December 30.2023, Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 30.2023,Magazeti ya Michezo leo Jumamosi, Newspaper front pages for the 30th of December 2023, Magazetini Leo asubuhi, Habari za Magazeti Leo Jumamosi tarehe 30 Disemba 2023.


Gazeti (kupitia Kiingereza kutoka Kiitalia gazzetta) ni karatasi zilizochapishwa habari na kutolewa mara kwa mara ama kila siku au kila wiki; kuna pia magazeti yanayotolewa mara moja au mbili kwa mwezi tu.

Magazeti yakiwa dukani

Magazeti yakiwa dukani

Mara nyingi gazeti huwa na habari za siasa, uchumi, utamaduni, michezo pamoja na hali ya hewa na programu za TV na burudani mbalimbali kama vibonzo, hadithi an vitendawili.

Sehemu nyingine muhimu ni matangazo ya biashara ambako kampuni au watu hununua nafasi gazetini na kutangaza biashara, mikutano na mengineyo.

Pamoja na vyombo vingine vya habari kama TV, redio au blogu, magazeti yanastahili uhuru wa maoni. Lakini katika nchi nyingi serikali zinajaribu kuzuia habari zisizopendezwa nazo. Kwa sababu hii Tangazo kilimwengu la haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa linatetea uhuru wa magazeti.

Pia kwa nchi ya Tanzania na nyinginezo vyombo vya habari vinahitaji uhuru wa kusikilizwa kwa kuunda misingi iliyo kamili katika kutetea haki zao ndipo wataweza kusikilizwa zaidi.

Magazeti yakiwa dukani

Magazeti yakiwa dukani

Chombo cha habari ni muhimu sana kwa jamii zetu za Kiafrika kwa vyombo hivi pia ndipo elimu mbalimbali hutolewa kwao. Hata hivyo magazeti yamekuwa pia chanzo kikubwa sana cha vijana kuchafuana majina na kuzushiana taarifa zisizokuwa rasmi kwa jamii, hasa pale ambapo wanakoseana heshima na kudharauliana.

Jambo hili ni baya sana kwa taifa na kwa jamii kwa ujumla, kwani kukosekana kwa maadili yaliyo muhimu kwa jamii ni chanzo kikubwa cha kuonekana kuwa magazeti hayana faida kwa kizazi cha baadaye, japo magazeti ni kitu muhimu sana kwa dunia ya leo, iwe ya mtandaoni au ya kuchapishwa kwenye karatasi.

Magazeti huuzwa madukani au na wauzaji barabarani. Katika nchi nyingi kuna pia mashine zinazotoa gazeti baada ya kuingiza sarafu. Mengine huagizwa na wasomaji na kupelekwa kwao nyumbani, kwa mfano kwa njia ya posta.

Kuna pia magazeti yanayotolewa bure; gharama zao zinalipiwa na matangazo pekee.

Katika mazingira ya kisasa magazeti yanapatikana pia kwa njia ya mtandao yakionekana kwenye tarakilishi. Njia hii mara nyingi ni bure vilevile, ila kuna baadhi za magazeti yanayoweka sehemu ya makala tu mtandaoni kwa watu wote, lakini makala mengine yanaonekana kwa wasomaji waliowahi kulipa ada na kuwa na neno la siri linalowaruhusu kutazama kurasa zote.

Magazeti ya Japani huwa na wasomaji wengi kuna tatu za kila siku zinazotolewa kwa nakala kati ya milioni 5 hadi 14 kila siku. Gazeti kubwa la Ujerumani “Bild” hutoa nakala milioni 3.8 kwa siku, gazeti kubwa la Marekani “America Today” milioni mbili. Gazeti kubwa la Afrika ya Mashariki ni Daily Nation wa Kenya yenye nakala 200,000 kila siku. Upande wa Tanzania ni gazeti “Mwananchi”

Nchi nyingi huwa na magazeti kadhaa yanayouzwa kote taifani. Kuna machache yanayoandaliwa kwa solo la kimataifa hasa, kwa mfano International Herald Tribune.

Lakini kuna pia magazeti mengi yanayokusanya habari za eneo au mji fulani hasa. Mifano yake katika Afrika ya Mashariki ni Arusha Times au Coastweek ya Mombasa. Katika nchi kama Marekani au Ujerumani sehemu kubwa ya magazeti ni ya eneo au miji fulani hasa.

Magazeti huwa tena na matumizi baada ya kusomwa hasa kwa kufunga vitu sokoni au kurudishwa kiwandani kwa kutengeneza karatasi mpya.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel