MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


MAJIBU ya Rufaa Wanafunzi 2177 Waliopangiwa Mikopo HESLB 2023/2024

Filed in Makala by on 04/12/2023 0 Comments

MAJIBU ya Rufaa Wanafunzi 2177 Waliopangiwa Mikopo HESLB 2023/2024

MAJIBU ya Rufaa Wanafunzi 2,177 Waliopangiwa Mikopo HESLB 2023/2024, Majibu ya Mkopo HESLB 2023, dirisha la mkopo 2023/2024, HESLB login heslb news 2023/24, Dirisha La Mkopo 2023 Kufunguliwa lini, HESLB news today,HESLB Majina Ya Waliopata Mkopo Baada Ya Rufaa 2023/2024,MAJIBU ya Rufaa Wanafunzi 2,177 Waliopangiwa Mikopo HESLB 2023/2024.MAJIBU ya Rufaa Wanafunzi 2177 Waliopangiwa Mikopo HESLB 2023/2024, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imetangaza jumla ya wanafunzi 2,177 waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 7.26 bilioni baada ya kuwasilisha maombi ya Rufaa kwa mwaka wa masomo 2023/2024 kwa kujaza taarifa na kuwasilisha nyaraka za kuthibitisha uhitaji wao.

JINSI YA KUONA MAJIBU YA RUFAA

Wanafunzi hao wahitaji 2,177 waliofanikiwa kupangiwa au kuongezewa viwango vya mikopo waliyokuwa wamepangiwa awali, wanashauriwa kupata taarifa za kina kuhusu mikopo yao kupitia akaunti za kudumu za taarifa za mikopo maarufu kama SIPA (Student’s Individual Permanent Account).

WALIOPANGIWA MIKOPO WAFIKIA
76,261

MAJIBU ya Rufaa Wanafunzi 2,177 Waliopangiwa Mikopo HESLB 2023/2024, Majibu ya Mkopo HESLB 2023, dirisha la mkopo 2023/2024, HESLB login heslb news 2023/24, Dirisha La Mkopo 2023 Kufunguliwa lini, HESLB news today,HESLB Majina Ya Waliopata Mkopo Baada Ya Rufaa 2023/2024,MAJIBU ya Rufaa Wanafunzi 2,177 Waliopangiwa Mikopo HESLB 2023/2024.Hatua ya kuwapangia mikopo wanafunzi wahitaji waliokata rufaa inafanya idadi ya Wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza walionufaika na mikopo kwa mwaka huu 2023/2024 kufikia 76,261 ambao wamedahiliwa katika taasisi
#WeweNdoFuture mbalimbali za elimu ya juu zilizopo nchini kwa ajili ya masomo ya shahada za kwanza (Local Undergraduate Degrees) na mikopo yao ina thamani ya TZS 221.28 bilioni.

MAJIBU ya Rufaa Wanafunzi 2177 Waliopangiwa Mikopo HESLB 2023/2024

CLICK HERE TO VIEW LOAN STATUS

Itakumbukwa kuwa, Wanafunzi 74,084 wa Shahada ya Kwanza walikuwa tayari wamepangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 214 bilioni katika Awamu tatu zilizotangazwa mtawalia Ijumaa, Oktoba 20, 2023, Ijumaa, Oktoba 27, 2023 na Alhamisi, Novemba 2, 2023 kabla ya kufunguliwa kwa dirisha la rufaa (Novemba 8 hadi 17, 2023) ili kuwawezesha wanafunzi ambao hawakuwa wamepangiwa au waliohitaji kuongezewa viwango vya mikopo kwa mwaka wa masomo 2023/2024 Kati ya Wanafunzi 76,261 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo, wanafunzi wa kiume ni 43,468 (57%) na wa kike ni 32,794 (43%).

Imetolewa na:
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Jumapili ya Disemba 3, 2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel