MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

MAJINA 284 ya Waliotwa Kazini Wizara ya Afya February 28-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 28/02/2024 0 Comments

MAJINA 284 ya Waliotwa Kazini Wizara ya Afya February 28-2024

MAJINA 284 ya Waliotwa Kazini Wizara ya Afya February 28-2024,Kuitwa kazini wizara ya afya, Wizara Ya Afya Ajira Mpya February 29-2024, Tangazo la Ajira Wizara ya Afya February 2024, Waliochaguliwa Ajira wizara Ya Afya, ajira.moh.go.tz login.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya anapenda kuwataarifu waombaji wa ajira za kada za afya zilizotangazwa katika tovuti ya Wizara www.moh.go.tz mnamo tarehe 19 Oktoba, 2023 hadi tarehe 03 Novemba, 2023 kwamba taratibu za kupitia maombi hayo zimekamilika.

Wahusika ambao majina yao yameorodheshwa kwenye tangazo hili wanatakiwa kuripoti Ukumbi wa Chuo cha Uuguzi Mirembe Dodoma ndani ya siku kumi na Nne (14) kuanzia tarehe 29 Februari, 2024 kwaajili ya kukamilisha taratibu za ajira.

MAJINA 284 ya Waliotwa Kazini Wizara ya Afya February 28-2024

MAJINA 284 ya Waliotwa Kazini Wizara ya Afya February 28-2024,Kuitwa kazini wizara ya afya, Wizara Ya Afya Ajira Mpya February 29-2024, Tangazo la Ajira Wizara ya Afya February 2024, Waliochaguliwa Ajira wizara Ya Afya, ajira.moh.go.tz login.

MAJINA 284 ya Waliotwa Kazini Wizara ya Afya February 28-2024

Wahusika wanatakiwa kufika na vyeti halisi, nakala mbili (2) kwa kila cheti ambacho kilitumika wakati wa kuomba ajira ikiwa ni pamoja na;

 • Nakala ya cheti cha kuzaliwa;
 • Wasifu binafsi (CV)
 • Nakala ya Kitambulisho/namba ya Uraia (NIDA);
 • Nakala ya vyeti vya elimu ya Sekondari (Kidato cha Nne na Sita)
 • Nakala ya vyeti vya taaluma pamoja na Transcript;
 • Nakala ya Cheti cha Mafunzo kwa Vitendo (Internship);
 • Nakala ya Cheti cha usajili kutoka Baraza na Bodi husika (Valid
  Licence);
 • Nakala ya Ithibati ya vyeti vya elimu na taaluma (Accreditation na Equivalence) kutoka TCU na NECTA kwa wale waliosoma vyuo vya nje ya nchi pamoja na wale waliosoma Sekondari nje ya nchi/Mitaala ya nje;
 • Iwapo majina yako yanatofautiana katika vyeti vyako pamoja na cheti cha kuzaliwa hakikisha unawasilisha kiapo cha majina (Deed Pool)
  kutoka kwa Msajili wa Viapo na Kusajiliwa na Msajili wa Hati, Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi;
 • Picha mbili (2) Passport Size.
 • Aidha, yeyote atakayeripoti na ‘Transcript’ tu au kuwa na nakala pungufu ya vielelezo tajwa hapo juu hatapokelewa.
 • Waombaji wote ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wafahamu kuwa hawakupata nafasi, hivyo wasisite kuomba nafasi za kazi zitakapotangazwa.
  Waombaji wote mnasisitizwa kuzingatia muda wa kuripoti kazini kama ilivyoainishwa hapo juu. Wizara itachukua hatua ya kujaza nafasi hizo kwa ambao hawataripoti ndani ya muda uliotajwa hapo juu.

KUONA MAJINA 284 ya Waliotwa Kazini Wizara ya Afya Leo February 28-2024 Tafadhali Bonyeza HAPA

Orodha ya MAJINA 284 ya Waliotwa Kazini Wizara ya Afya Leo February 28-2024, TANGAZO LA KUITWA KAZINI -WIZARA YA AFYA February 28-2024, WIZARA ya Afya contacts, Waliochaguliwa ajira wizara ya afya pdf, Majina ya walioitwa kazini wizara ya Afya 2024, Katibu mkuu wizara ya afya, Wizara ya Afya Tanzania, moh.go.tz announcement, ajira.moh.go.tz login password.

PIA UNAWEZA KUSOMAūüĎá

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel