MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

MAJINA Mengine ya Walioitwa kwenye Usajili UTUMISHI 11-01-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 12/01/2024 0 Comments

MAJINA Mengine ya Walioitwa kwenye Usajili UTUMISHI 11-01-2024

MAJINA Mengine ya Walioitwa kwenye Usajili UTUMISHI 11-01-2024,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Walioitwa kwenye usaili etdco, Walioitwa kwenye usaili Halmashauri ya Jiji la Tanga 2024, MATOKEO YA USAILI BRELA, WALIOITWA KWENYE USAILI BRELA 2024, Ajira portal, WALIOITWA kwenye Usaili TANAPA 2024, Walioitwa kazini kilimo Kuitwa kazini jkci.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala wa Vipimo (WMA), MDAS & LGAs, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 13-01-2024 hadi 17-01-2024 a hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

1.Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.

2.Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)

MAJINA Mengine ya Walioitwa kwenye Usajili UTUMISHI 11-01-2024,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Walioitwa kwenye usaili etdco, Walioitwa kwenye usaili Halmashauri ya Jiji la Tanga 2024, MATOKEO YA USAILI BRELA, WALIOITWA KWENYE USAILI BRELA 2024, Ajira portal, WALIOITWA kwenye Usaili TANAPA 2024, Walioitwa kazini kilimo Kuitwa kazini jkci.

MAJINA Mengine ya Walioitwa kwenye Usajili UTUMISHI 11-01-2024

3.Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;

4.Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kaazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.

5.Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.

6.Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.

7.Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.

8.Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.

9.Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)

10.Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.

11.Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

12.Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili.

13.Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 11-01-2024 DONWLOAD PDF

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA MAJINA YA NYONGEZA 11-01-2024 DOWNLOAD PDF

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel