MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 06 January 2024

Filed in Ajira by on 06/01/2024 0 Comments

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 06 January 2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 06 January 2024, Majina ya walioitwa kazini utumishi 06 january 2024 release, Majina ya walioitwa kazini utumishi 06 january 2024 date, Ajira portal, Tangazo LA Kuitwa Kazini 2024, Majina ya walioitwa kazini Utumishi 2024 Ajira portal login, Majina ya walioitwa kazini tamisemi Sekretarieti ya Ajira, ajira.go.tz 2024, Call for Interview Ajira Portal, Ajira portal news, Tangazo la kuitwa kazini wizara ya afya.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 28-10-2022 na tarehe 15-11-2023 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya Majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 06 January 2024, Majina ya walioitwa kazini utumishi 06 january 2024 release, Majina ya walioitwa kazini utumishi 06 january 2024 date, Ajira portal, Tangazo LA Kuitwa Kazini 2024, Majina ya walioitwa kazini Utumishi 2024 Ajira portal login, Majina ya walioitwa kazini tamisemi Sekretarieti ya Ajira, ajira.go.tz 2024, Call for Interview Ajira Portal, Ajira portal news, Tangazo la kuitwa kazini wizara ya afya.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 06 January 2024

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA LEO JANUARY 06, 2024 DOWNLOAD PDF

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel