MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 13-01-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 14/01/2024 0 Comments

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 13-01-2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 13-01-2024, Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI January 13-2024,Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 13-01-2024,Ajira portal login Walioitwa kazini January 13-2024, Tangazo La Kuitwa Kazini January 2024, Walioitwa kazini TRA January 2024.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 13-01-2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 13-01-2024, Majina ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 13-01-2024, Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI January 13-2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 13-01-2024,Ajira portal login Walioitwa kazini January 13-2024, Tangazo La Kuitwa Kazini January 2024, Walioitwa kazini TRA January 2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 10-09-2022 na tarehe 12-12-2023
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 13-01-2024, Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI January 13-2024,Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 13-01-2024,Ajira portal login Walioitwa kazini January 13-2024, Tangazo La Kuitwa Kazini January 2024, Walioitwa kazini TRA January 2024.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 13-01-2024

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa
Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa
na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 13-01-2024 DOWNLOAD PDF

Kuitwa kazini afisa maendeleo ya jamii, Majina ya walioitwa kwenye usaili afisa maendeleo, Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI Ajira portal, Tangazo LA kuitwa kazini, Majina ya walioitwa kazini Utumishi 2024, Tangazo la kuitwa kazini afya 2024, Walioitwa kazini TAMISEMI 2024.

TANGAZO LA Kuitwa Kazini 2024, Ajira portal, Tangazo la kuitwa kazini pdf, Tangazo la kuitwa kazini Leo, Tangazo LA kuitwa Kazini 2024 tamisemi, Tangazo la kuitwa kazini afya 2024.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel