MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI December 2023

Filed in Ajira, Michezo by on 18/12/2023 0 Comments

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI December 2023

MAJINA ya Walioitwa UTUMISHI December 2023, Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI December 2023,Tangazo LA Kuitwa Kazini  December 2023, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI Dodoma, Kuitwa kazini afisa maendeleo ya jamii,Tangazo la kuitwa kazini wizara ya afya.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI December 2023

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI December 2023, Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI December 2023,Tangazo LA Kuitwa Kazini  December 2023, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI Dodoma, Kuitwa kazini afisa maendeleo ya jamii,Tangazo la kuitwa kazini wizara ya afya.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 12-09-2022 na tarehe 15-11-2023 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI December 2023, Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI December 2023,Tangazo LA Kuitwa Kazini  December 2023, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI Dodoma, Kuitwa kazini afisa maendeleo ya jamii,Tangazo la kuitwa kazini wizara ya afya.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI December 2023

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI December 2023, Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI December 2023 – Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI August 2023) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2023.

Kuitwa Kazini Taasisi mbalimbali Serikalini.

The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is a government organ with a status of independent Department established specifically to facilitate the recruitment process of employees to the Public Service. Public Service Recruitment Secretariat was established by the Public Service Act No. 8 0f 2002 as amended by Act No. 18 of 2007, section 29(1).

Placement(S) Published in December 2023

For more information Visit https://www.ajira.go.tz/

CONTACTS

Human resource is an ankle and significant factor in public service delivery, thus, PSRS has been given a role of recruiting public servants in fair, transparent, and timely manner, while observing and guaranteeing quality and access to all applicants in order to deliver equitable Public Service in Tanzania. Our aim is to improve government public Service on issues concerning recruitment process According to our rules and regulations and at the same time enhance good relations with Our stakeholders.

Ajira Portal Call for interview 2023, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023 Download, Majina ya walioitwa kazini Utumishi 2023, Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI 2023, Tangazo la kuitwa kazini Afya 2023, Walioitwa kazini 2023, Ajira portal WALIOITWA KWENYE USAILI Dodoma 2023, Kuitwa Kazini Utumishi Call for Work Ajiraportal PSRS PDF List Check Out,News Update :: Public Service Recruitment Secretariat,Majina ya walioitwa kazini Utumishi wa umma,Kuitwa Kazini Utumishi Call for Work Utumishi-PSRS Walioitwa pdf.

As we all know that the government motto is to enhance transparency and accountability to the public. The PSRS will enable Ministries, Independent Departments and Agencies, Regional Secretariats, Local Government Authorities and other Public Institutions to acquire human resources with relevant competencies by adhering to principles of fairness, impartiality, transparency and meritocracy in the public service of Tanzania. It is therefore expected that, by adhering to the above principles; the public service in Tanzania will be of high standard and hence contribute to the growth of the national economy in line with the Vision 2025.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel