MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 20 December 2023

Filed in Ajira, Michezo by on 20/12/2023 0 Comments

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 20 December 2023

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 20 December 2023, Kuitwa Kazini Utumishi Call for Work Ajiraportal PSRS PDF List Check Out,Call for Interview Ajira Portal, Kuitwa kazini afisa maendeleo ya jamii, Sekretarieti ya Ajira, AJIRA LEO, Tangazo la kuitwa kazini wizara ya afya, Tangazo la kuitwa kazini UTUMISHI Leo 2023, Majina ya walioitwa kazini utumishi leo pdf, Majina ya walioitwa kazini Utumishi December 20.2023, Ajira portal, Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI 2023, Tangazo LA kuitwa kazini Ajira portal login, Majina ya walioitwa kazini Utumishi Leo December 20.2023 Download PDF, Majina ya walioitwa kazini Utumishi Leo December 20/2023 PDF.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 20 December 2023 Donwload PDF

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 20 December 2023, Kuitwa Kazini Utumishi Call for Work Ajiraportal PSRS PDF List Check Out,Call for Interview Ajira Portal, Kuitwa kazini afisa maendeleo ya jamii, Sekretarieti ya Ajira, AJIRA LEO, Tangazo la kuitwa kazini wizara ya afya, Tangazo la kuitwa kazini UTUMISHI Leo 2023.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 18-06-2022 na tarehe 15-11-2023 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 20 December 2023, Kuitwa Kazini Utumishi Call for Work Ajiraportal PSRS PDF List Check Out,Call for Interview Ajira Portal, Kuitwa kazini afisa maendeleo ya jamii, Sekretarieti ya Ajira, AJIRA LEO, Tangazo la kuitwa kazini wizara ya afya, Tangazo la kuitwa kazini UTUMISHI Leo 2023, Majina ya walioitwa kazini utumishi leo pdf, Majina ya walioitwa kazini Utumishi December 20.2023, Ajira portal, Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI 2023, Tangazo LA kuitwa kazini Ajira portal login, Majina ya walioitwa kazini Utumishi Leo December 20.2023 Download PDF, Majina ya walioitwa kazini Utumishi Leo December 20/2023 PDF.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 20 December 2023

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 20 December 2023 Donwload PDF

Majina ya walioitwa kazini utumishi leo pdf, Majina ya walioitwa kazini Utumishi December 20.2023, Ajira portal, Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI 2023, Tangazo LA kuitwa kazini Ajira portal login, Majina ya walioitwa kazini Utumishi Leo December 20.2023 Download PDF, Majina ya walioitwa kazini Utumishi Leo December 20/2023 PDF.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel