MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Ardhi January 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 15/01/2024 0 Comments

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Ardhi January 2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Ardhi (ARU) 15-01-2024,  Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Ardhi (ARU) 15-01-2024,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Ardhi University Selected Applicants 2024, Ajira portal ARU ac tz Login password.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Ardhi (ARU) 15-01-2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Ardhi January 2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Ardhi (ARU) 15-01-2024,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Ardhi University Selected Applicants 2024, Ajira portal ARU ac tz Login password.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 22-01-2024 hadi 24-01-2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Ardhi January 2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Ardhi (ARU) 15-01-2024,  Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Ardhi (ARU) 15-01-2024,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Ardhi University Selected Applicants 2024, Ajira portal ARU ac tz Login password.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Ardhi (ARU) 15-01-2024

 • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
 • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
 • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
  kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
 • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
  Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
 • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
  matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
  HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
 • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
 • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
 • Usaili wa mahojiano utajumuisha uwasilishaji wa mada
 • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
  Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)

Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
vigezo.

Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.

Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU ARDHI (ARU) 15-01-2024 DONWLOAD PDF

Ardhi University login, Ardhi selection results, Ardhi University Selected Applicants 2024 second round, www.ajira.go.tz login, Ardhi University website, Call for Interview Ajira Portal, Ardhi University online application, Ardhi University admission,Ardhi University online application.

Ardhi University admission,Names Called for Interview at Ardhi University 2024,Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Ardhi ARU January 15-2024,ARDHI | Announcements,Ardhi University Selected Applicants 2024 second round, www.ajira.go.tz login, Ardhi University website, Call for Interview Ajira Portal, Nijuze Habari Ajira.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel