MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI 11-01-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 11/01/2024 0 Comments

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI 11-01-2024

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI 11-01-2024, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA 11-01-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA 11-01-2024,AJIRA LEO, Ajira portal Vacancies, Tangazo LA Kuitwa kwenye usaili utumishi, TRA ajira portal, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI LEO.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Taasisi ya Uongozi, Hospitali ya Bugando, Hospitali ya Benjamin Mkapa anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 2024-01-20 hadi 2024-01-22 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI 11-01-2024, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA 11-01-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA 11-01-2024,AJIRA LEO, Ajira portal Vacancies, Tangazo LA Kuitwa kwenye usaili utumishi, TRA ajira portal, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI LEO.

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI 11-01-2024

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

 • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
 • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
 • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
 • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, Kidato cha VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
 • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
 • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
 • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
 • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
 • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
 • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
 • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
 • Msailiwa haruhusiwi kuja na simu au kifaa chochote cha kielekroniki kwenye eneo la usaili.

Kwa Habari Zaidi Tafadhali Download PDF Hapa: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 11-01-2024 DOWNLOAD PDF HERE

Sekretarieti ya Ajira, News Update Public Service Recruitment Secretariat, Call for Interview Utumishi 2024 Ajira Portal PSRS,Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi 11 01 2024 release, Ajira portal, Ajira portal loginz Sekretarieti ya Ajira, Call for Interview Ajira Portal Ajira portal news, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI January 2024.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel