MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI February 26-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 26/02/2024 0 Comments

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI February 26-2024

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI February 26-2024,Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA 26-02-2024, Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi february 26 2024 date, Tangazo LA kuitwa kwenye usaili Utumishi Ajira portal, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Ajira Portal February 2024.

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI February 26-2024

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI February 26-2024,Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA 26-02-2024, Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi february 26 2024 date, Tangazo LA kuitwa kwenye usaili Utumishi Ajira portal, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Ajira Portal February 2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Tume ya Madini (TMC), Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Hospitali ya Benjamin Mkapa, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Chuo cha Takwimu
Mashariki mwa Afrika (EASTC), Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Mfuko wa Self – SELF MF, Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 04-03-2024 hadi 19-03-2024 a hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI February 26-2024,Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA 26-02-2024, Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi february 26 2024 date, Tangazo LA kuitwa kwenye usaili Utumishi Ajira portal, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Ajira Portal February 2024.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

 • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
 • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
 • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
 • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
  kura,Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
 • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za
  Mwombaji.
 • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
  matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
  HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
 • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
 • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
 • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
  Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
 • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
  vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
 • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
 • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
 • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa
  nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

KUONA Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA February 26-2024 Bonyeza HAPA

Walioitwa kwenye usaili Ajira Portal, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024 Download PDF,WALIOITWA KWENYE USAILI February 2024, MAJINA YA walioitwa KWENYE USAILI Dodoma, MAJINA ya walioitwa kwenye USAILI tamisemi, Call for Interview Ajira Portal February 2024, MAJINA ya walioitwa kwenye Usaili TANAPA 2024, WALIOITWA KWENYE USAILI DODOMA 2024.

PIA UNAWEZA KUSOMAūüĎá

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel