MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 19-02-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 20/02/2024 0 Comments

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 19-02-2024

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 19-02-2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 19-02-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo 19-02-2024.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 19-02-2024

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 19-02-2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 19-02-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo 19-02-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 23-06-2022 na tarehe 22-01-2024
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 19-02-2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 19-02-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo 19-02-2024.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 19-02-2024

MUHIMU:
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwaajili ya utambuzi;

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Kitambulisho cha kazi.

Kuona Majina ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 19-02-2024 bonyeza hapa

Names Called for Work Released by UTUMISHI Today 19th February,Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI February 19-2024,tangazo la kuitwa kazini taasisi mbalimbali za umma 19-02-2024, Ajira portal login, Sekretarieti ya ajira Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI February 19-2024, Ajira portal news, Utumishi Portal, Ajira portal Vacancies, Majina ya walioitwa kazini utumishi 19 02 2024 download, Ajira portal, Walioitwa kazini utumishi 2024, Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI, Tangazo LA kuitwa kazini, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo.

PIA UNAWEZA KUSOMAūüĎá

Tags: , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel