MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI February 23-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 24/02/2024 0 Comments

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI February 23-2024

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI February 23-2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 23-02-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini February 23-2024, Majina Mapya ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo 23 February 2024.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI February 23-2024

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI February 23-2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 23-02-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini February 23-2024, Majina Mapya ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo 23 February 2024,Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI February 23-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 03-04-2023 na tarehe 22-01-2024
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI February 23-2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 23-02-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini February 23-2024, Majina Mapya ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo 23 February 2024.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI February 23-2024

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MUHIMU:
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Kitambulisho cha
kazi.

KUONA Majina ya Waliotwa Kazini UTUMISHI February 23-2023 BONYEZA HAPA

Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA February 23-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI February 23-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo, Recruitment portal, Recruitment portal login
PSRS, Government Recruitment portal, Job portal, Job opportunities, Jobs today, Job vacancies today, Employment portal
Job apply, PSRS Login Apply here.

PIA UNAWEZA KUSOMAūüĎá

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel