MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


MAJINA ya waliotwa Kwenye Usaili UTUMISHI 13-02-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 13/02/2024 0 Comments

MAJINA ya waliotwa Kwenye Usaili UTUMISHI 13-02-2024

Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi 13 02 2024 download PDF, Ajira portal, Ajira portal login, Sekretarieti ya ajira, Ajira portal updates, Call for Interview Ajira Portal February 13-2024, Ajira portal Vacancies, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI February 2024, AJIRA LEO, Public Service Recruitment Portal, TRA ajira portal, Utumishi Portal registration.

MAJINA ya waliotwa Kwenye Usaili UTUMISHI 13-02-2024

MAJINA ya waliotwa Kwenye Usaili UTUMISHI 13-02-2024, Majina ya waliotwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA 13-02-2024, Majina ya waliotwa Kwenye Usaili Utumishi February 13-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA 13-02-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Maji (WI), Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Shirika la Mzinga, Wakala wa Mbegu (ASA), Water Institute – WI, MDAs & LGAs, Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Tanzania Coffee Board, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori (MWEKA), Jeshi la Polisi Tanzania, Chuo cha Ardhi Morogoro (ARIMO), Shirika la Nyumbu (TATC), Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme (ETDCO), Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19-02-2024 hadi 04-03-2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi 13 02 2024 download MAJINA ya waliotwa Kwenye Usaili UTUMISHI 13-02-2024, PDF, Ajira portal, Ajira portal login, Sekretarieti ya ajira, Ajira portal updates, Call for Interview Ajira Portal February 13-2024, Ajira portal Vacancies, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI February 2024, AJIRA LEO, Public Service Recruitment Portal, TRA ajira portal, Utumishi Portal registration.

MAJINA ya waliotwa Kwenye Usaili UTUMISHI 13-02-2024

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

 • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
 • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
 • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
 • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
 • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
 • NAFASI za Kazi Tumaini University Makumira February 2024
 • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
 • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
 • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
 • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
 • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
 • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
 • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
  Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA DOWNLOAD PDF HERE

Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi 13 02 2024 download PDF, Ajira portal, Ajira portal login, Sekretarieti ya ajira, Ajira portal updates, Call for Interview Ajira Portal February 13-2024, Ajira portal Vacancies, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI February 2024, AJIRA LEO, Public Service Recruitment Portal, TRA ajira portal, Utumishi Portal registration.

PIA UNAWEZA KUSOMAūüĎá

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel