MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili UTUMISHI February 23-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 24/02/2024 0 Comments

MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili UTUMISHI February 23-2024

MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili UTUMISHI February 23-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Umma Majina ya Nyongeza 23-02-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo 23 February 2023.

MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili UTUMISHI February 23-2024

MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili UTUMISHI February 23-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Umma Majina ya Nyongeza 23-02-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo 23 February 2024, Kuitwa kwenye Usaili UTUMISHI February 23-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Tume ya Ushindani (FCC) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24-02-2024 hadi 26-02-2024 a hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi
watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili UTUMISHI February 23-2024, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Ajira portal, Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi february 23 2024 date, Tangazo LA kuitwa kwenye usaili Utumishi, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI February 2024 Download, WALIOITWA KWENYE USAILI DODOMA 2024, WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI February 2024, MAJINA ya walioitwa kwenye Usaili TANAPA 2024, Ajira portal login, Walioitwa kwenye usaili Ajira Portal, MAJINA YA walioitwa KWENYE USAILI Sekretarieti ya ajira.

 • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
 • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
 • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
 • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
  kura,Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
 • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
  Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za
  Mwombaji.
 • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
  matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
  HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
 • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
 • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
 • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
 • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
 • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
 • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
 • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

KUONA Majina ya Waliotwa Kwenye Usaili UTUMISHI February 23-2024 BONYEZA HAPA.

MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Ajira portal, Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi february 23 2024 date, Tangazo LA kuitwa kwenye usaili Utumishi, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI February 2024 Download, WALIOITWA KWENYE USAILI DODOMA 2024, WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI February 2024, MAJINA ya walioitwa kwenye Usaili TANAPA 2024, Ajira portal login, Walioitwa kwenye usaili Ajira Portal, MAJINA YA walioitwa KWENYE USAILI Sekretarieti ya ajira.

PIA UNAWEZA KUSOMAūüĎá

Tags: , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel