MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

MAJINA Zaidi ya 1000 ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo December 2023

Filed in Ajira, Michezo by on 30/12/2023 0 Comments

MAJINA Zaidi ya 1000 ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo December 2023

MAJINA Zaidi ya 1000 ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo December 2023,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI December 2023 Download, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI Leo December 2023, Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi pdf, Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi download, Ajira portal, WALIOITWA KWENYE USAILI December 30.2023,Walioitwa Interview Serikalini PSRS Call For Interview December 30/2023,Kuitwa kwenye usaili Utumishi wa Umma Call for Interview Pdf 'Names',Call for Interview Utumishi 2023 Ajira Portal PSRS,Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma 2023 - Call for interview December 30.2023.

MAJINA Zaidi ya 1000 ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo December 2023

MAJINA Zaidi ya 1000 ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo December 2023,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI December 2023 Download, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI Leo December 2023, Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi pdf.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA), MDAS & LGAs, Wakala wa Vipimo (WMA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 2024-01-10 hadi 2024-01-17 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

MAJINA Zaidi ya 1000 ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo December 2023,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI December 2023 Download, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI Leo December 2023, Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi pdf, Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi download, Ajira portal, WALIOITWA KWENYE USAILI December 30.2023,Walioitwa Interview Serikalini PSRS Call For Interview December 30/2023,Kuitwa kwenye usaili Utumishi wa Umma Call for Interview Pdf 'Names',Call for Interview Utumishi 2023 Ajira Portal PSRS,Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma 2023 - Call for interview December 30.2023.

MAJINA Zaidi ya 1000 ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo December 2023

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, Kidato cha VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hati za matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)

Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo.Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.

Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili

Msailiwa haruhusiwi kuja na simu au kifaa chochote cha kielekroniki kwenye eneo la usaili.

MAJINA Zaidi ya 1000 ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo December 2023 DOWNLOAD PDF

Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi download, Ajira portal, WALIOITWA KWENYE USAILI December 30.2023,Walioitwa Interview Serikalini PSRS Call For Interview December 30/2023,Kuitwa kwenye usaili Utumishi wa Umma Call for Interview Pdf ‘Names’,Call for Interview Utumishi 2023 Ajira Portal PSRS,Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma 2023 – Call for interview December 30.2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel